Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majina ya Kiislamu ni majina ambayo yametokana na lugha ya Kiarabu na yanahusishwa na Uislamu au utamaduni wa Kiislamu. Majina ya Kiarabu, kwa upande mwingine, ni majina tu ambayo yanatokana na lugha ya Kiarabu.Majina ya Kiislamu au Kiarabu?
Bwana frank tulia 😂Mbona Frank huniambii ?
😂😂Jina langu ni Manyanza.
Kiswahili ni Ziwa au Maziwa. Maana yake ni Ziwa na Lake Victoria kabla ya Mkoloni liliitwa Nyanza. Kwahiyo mjumuisho wa maziwa yote ukatengeneza Manyanza 😂😂😂😂
Duuuh Dafina😂😂😂😂Tunaweza kulitafsiri kama "Dafina" kwa Kiarabu ambalo linamaanisha "sanduku la hazina" au "kitu cha thamani kilichofichwa."
Check hizo, huenda zina sound good, Dariya Hulda-TamarriDalia - ina maana "kijivu" au "kijani kibichi" kwa Kiarabu
Dariya - ina maana "bahari" kwa Kiarabu
Dalal - ina maana "mshauri" au "mwendeshaji" kwa Kiarabu
Eid Mubarak to you too dear🥰MAkiniii uhakika
Eid mubarak
Thank you dear tifa 😘Eid Mubarak to you too dear🥰
Sasa mimi si ndo mjukuu! Yaani Dan Nkosi ZwangendabaUlitakiwa ujiite Nkosi Zwangedaba na sio Dan 😂😂😂😂
Sisi waafrika/wabantu hatupo hapo, yote majina ya kitumwa.View attachment 2596073
Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka,
Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye maana sawa la kiislam (Arab).
Kwa kuanzia haya ni baadhi ya majina ya Kikristo ambayo yanapatikana Tanzania ambayo tunaweza yapeleka kwenye tafsiri ya kiarabu:
Unaona majina haya yalivyo interchangeable, yanavyoshabiliana? Hii ni kumaanisha sisi sote ni ndugu.
- Lucy - Lusiya
- John - Yahya
- Mark - Markus
- Mary - Maryam
- Joseph - Yusuf
- Peter - Butrus
- Anna - Hannah
- Elizabeth - Alizabet
- Andrew - Andrawus
- Michael - Mika'il
- David - Dawud
- Esther - Ishtar
- James - Yakub
- Martha - Marta
- Luke - Lukas
- Rebecca - Rabiqa
- Paul - Bulus
- Sarah - Sara
- Timothy - Timotheo
- Ruth - Ruta
Je, haujaona lako bwana Richard, dada Doreen, nk.. Kama uko interested drop jina lako, ama kama uko kwny anonymity mode pretend hata ni la rafiki yako, upate jina la kudrop mahali Leo na kula Eid na wanao..
Natumai Eid hii ituletee furaha na amani sisi sote. Eid Mubarak!
Kibori NangaiView attachment 2596073

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...