Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂😂 tapika nyongo kabisaHata sijala
Labda nitapike bandama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 tapika nyongo kabisaHata sijala
Labda nitapike bandama
Jina zuri sana, nimelipenda😍Latifa
Ni kweli.Kwamba John kwa kiiislam ni Yahaya. Uooooongoooooo huoo
Wewe kwa kizayuni ni HitlerAdolph
Kivipi??Ni kweli.
Wenceslaus inamaanisha greater glory (Neema Kubwa), ambapo mwanao anaweza jichanganya na wenzake akajiitaMbna Mimi unijbu uko nimeuliza Wenceslaus maana yake nataka kumpa mwanangu
[emoji23]Wewe kwa kizayuni ni Hitler
Attrack jina langu. KIBAKULIC.I.A eikei ei Usalama wa Taifa. Roma usitokeze kwenye huu uzi. Wataku-track
sawa yahyaNimeshaliona langu na maana yake
Furahi na moyo wako Dawud 😂😂😂
Nipe maanake zakeTUnaangalia pia maana ya jina
Maana ya jina la John zinafanana na Yahaya
James kwa wazungu wanaitamka HAMESYakub, Hamza, Yusuf, Jameel
😂😂😂Hilo jina limekaa kiume 🥹🤣