Nipe jina na maana ake

Nipe jina na maana ake

Baada ya kuwa baba kijacho kwa miezi 9 sasa hatimae muda si mrefu mungu akijalia mkono wake wa neema natarajia kuitwa baba fulani....

Kwangu mimi mtoto ni mtoto haijalishi awe wa kike/kiume wote ni watoto.

Jina kwa upande wa mtoto wa kiume ninalo tayari,lakini kwa upande kike sijalipata bado.

Kwa kuzingatia mambo tajwa hapo juu naomba msaada wa wadau kupekua library za bongo zenu na kila mmoja apendekeze jina analohisi ni sahihi kwa mtoto wa kike.

Nakaribisha majina na maana zake kwa jinsia ya kike.

#Karibuni nyote.View attachment 1744206
Kiroho,mwanao kwanza atakua mtu makini, pili, atakua mkali simanishi sura namanisha kiroho maana hii karama mungu kanipa,huyu type za ni za wale shangazi wa tweete,akili nyingi sa
 
Muite

Chemical
Rosaree
Dipper
Trixy
Card c
Megan
Nickie
Frida
Zuchu
Etc
HipHop for life
 
Watoto wa kiume ni hasara tupu,kwetu tupo watoto wa kiume watatu ambao wamesomeshwa na wana maisha yao mazuri tu ila wazazi wanasaidiwa na watoto wa kike ambao waliishia la saba ambao ni wauza magenge.Baba na Mama walidharau kusomesha watoto wa kike na kung'ang'ania kusomesha wa kiume wakifikiri kuwa wako sahihi kumbe waliruka mkojo wakakanyaga mavi.Hali ya maisha ya Baba na Mama siyo nzuri.
Duuuh sijui kwanini wanaume hawasaidia kwao
 
Back
Top Bottom