Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ake ipo!!!?Mwite careen
Ivy nzuri maana sijaipata lakini?
Kiroho,mwanao kwanza atakua mtu makini, pili, atakua mkali simanishi sura namanisha kiroho maana hii karama mungu kanipa,huyu type za ni za wale shangazi wa tweete,akili nyingi saBaada ya kuwa baba kijacho kwa miezi 9 sasa hatimae muda si mrefu mungu akijalia mkono wake wa neema natarajia kuitwa baba fulani....
Kwangu mimi mtoto ni mtoto haijalishi awe wa kike/kiume wote ni watoto.
Jina kwa upande wa mtoto wa kiume ninalo tayari,lakini kwa upande kike sijalipata bado.
Kwa kuzingatia mambo tajwa hapo juu naomba msaada wa wadau kupekua library za bongo zenu na kila mmoja apendekeze jina analohisi ni sahihi kwa mtoto wa kike.
Nakaribisha majina na maana zake kwa jinsia ya kike.
#Karibuni nyote.View attachment 1744206
[emoji28][emoji28][emoji28]....hii list ni ya matunda au watu.Muite
Chemical
Rosaree
Dipper
Trixy
Card c
Megan
Nickie
Frida
Zuchu
Etc
HipHop for life
Amina,amina.Kila la kheri
[emoji28][emoji28][emoji28]....hii list ni ya matunda au watu.
[emoji28][emoji28][emoji28]....hii list ni ya matunda au watu.
Nahisi chemical aisee[emoji28]
Hvi adam na ever walikula tunda gani Hapo juu?
Duuuh sijui kwanini wanaume hawasaidia kwaoWatoto wa kiume ni hasara tupu,kwetu tupo watoto wa kiume watatu ambao wamesomeshwa na wana maisha yao mazuri tu ila wazazi wanasaidiwa na watoto wa kike ambao waliishia la saba ambao ni wauza magenge.Baba na Mama walidharau kusomesha watoto wa kike na kung'ang'ania kusomesha wa kiume wakifikiri kuwa wako sahihi kumbe waliruka mkojo wakakanyaga mavi.Hali ya maisha ya Baba na Mama siyo nzuri.