House4Rent Nipe milion 3 nikuachie pa kuishi

House4Rent Nipe milion 3 nikuachie pa kuishi

Sitachoka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,030
Reaction score
1,306
Nahama kwenye hili jiji la Mwanza

Hivyo nitakuachia kila kitu cha ndani kwangu nilipokuwa nimepanga.... nyumba ina vyumba viwili Master moja na kawaida moja pia public toilet, ina jiko, sitting room pamoja na dining kodi ya nyumba kwa mwezi ni 167000 bado kuna kodi ya miezi miwili mpaka Nov ili kuisha.

Vitu vilivyopo ndani ni sofa set ya watu 3, 2, 2 na la mmoja nilitengeneza kwa 1milion, kuna tv showcase, coffee table nilichonga 150000 nilitengeneza kwa laki 4.5, kila chumba kina kitanda cha tano kwa sita na godoro lake ila chumba master kina godoro la QFL inch 12 lingine inch 8.

Kuna jiko la gesi na mtungi wake, dressing table nilichonga kwa laki 3, kuna kabati la vyombo nilichonga kwa laki 4.5.

Nyumba ipo Nyakato Mecco kwa aliyetayari tafadhari tuwasiliane 0622723082

IMG_20210822_123715.jpg

IMG_20210822_111937.jpg

IMG_20210821_190901.jpg

IMG_20210822_125356.jpg
 
Mill 3 mkuu hutopata mtanzania wa kulipa hiyo pesa aisee ...ngoja tuone
 
Back
Top Bottom