Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa unatuma au tubebe tu mizigo?Ahsante sana mkuu kwa moyo wako... Ila si Dar
Sasa mtu kashasema usafiri juu yake kwanini usimsafirishie tu?? Au mizigo haiwezi safiri yenyewe kwenye gari??🙄🙄Ahsante sana mkuu kwa moyo wako... Ila si Dar
Duh... mbona hiyo bei ni kama ya kutupa kabisa?Mill 3 mkuu hutopata mtanzania wa kulipa hiyo pesa aisee ...ngoja tuone
Mkuu hiyo makitu ingekuwa Dar, ningekuongezea kabisa laki 5 uniachie mapazia, mashuka na kila kitu. Yani mchepuko unahamia na begi lake tu...Karibu mkuu
Mimi mtu mzima, nimekuelewa uzuri sana...Pazuri hadi raha!
Una michepuko karibia 7 mzee wewe, au utamchagua yule wa kule Bunju?Mkuu hiyo makitu ingekuwa Dar, ningekuongezea kabisa laki 5 uniachie mapazia, mashuka na kila kitu. Yani mchepuko unahamia na begi lake tu...
Kila la kheri Mkuu... umejilipua kiume...
Kwani shuleni pia si kuna mwali wa zamu?Una michepuko karibia 7 mzee wewe, au utamchagua yule wa kule Bunju?
Shemeji sijafeli sema tumechoka kumuamulizia ugomvi wifiKwani shuleni pia si kuna mwali wa zamu?
Shemeji unafeli wapi?
Umeelewa nini we babu😂Mimi mtu mzima, nimekuelewa uzuri sana...
Umeshakuwa mkubwa ujue ... 🤣🤣🤣🤣Umeelewa nini we babu😂
Siku hizi nshakuwa mkubwa,,, siogopi tena bastola🤣🤣🤣Shemeji sijafeli sema tumechoka kumuamulizia ugomvi wifi
Hii utaniachia kwa bei gani??