House4Rent Nipe milion 3 nikuachie pa kuishi

Mkuu hiyo makitu ingekuwa Dar, ningekuongezea kabisa laki 5 uniachie mapazia, mashuka na kila kitu. Yani mchepuko unahamia na begi lake tu...

Kila la kheri Mkuu... umejilipua kiume...
Una michepuko karibia 7 mzee wewe, au utamchagua yule wa kule Bunju?
 
Mkuu hiyo makitu ingekuwa Dar, ningekuongezea kabisa laki 5 uniachie mapazia, mashuka na kila kitu. Yani mchepuko unahamia na begi lake tu...

Kila la kheri Mkuu... umejilipua kiume...
Amina mkuu...
 
Kama unakuja dar kuna baadhi ya vitu nikuunge uje navyo, usafiri juu yangu.
Mkuu siji dar labda kama una mtu aje avione alipe akusafirishie, kama itakupendeza
 
Mie nipo mbali sana,
Msalimie Mwenyekiti Machota.

Ila nikiwahi kurudi utaniuzia tv casing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…