Nipe ndo nikupe!!! Butter trade Bado haijaisha kumbe!!!

Nipe ndo nikupe!!! Butter trade Bado haijaisha kumbe!!!

We nawe hujui kuomba hela, ex haombwi kama mjomba ako.

Ngoja nikufunde kidogo.....ex unamtext unajifanya umemmiss, unaregret nyie kupotezana....afu unajifanya hujui hata mliachanaje achanaje.....unasingizia wachawi waliingilia penzi lenu.....ila hufikirii kuna aliye bora zaidi yake, yani hutapata kama yeye (hapo ushaattack his ego🤣🤣🤣, Mungu mwenyewe anapenda kusifiwa ye nani achomoe)
Afu ndo unamalizia nna shida ya 50k, na unaahidi utairefund (wanaume wanajua kuna njia nyingi za kurefund🤣🤣🤣)
Akituma unamblock.....karibu mjini.
Utawadaka wasukuma tu sio born town
 
Ila ex nae si alimkulaga huyu muomba pesa? Ampe tu pesa mwenzie......ndo kiinua mgongo cha mapenzi hicho.
Kwanza sasa hivi inaliwa na nani? Inabidi akaombe kwa anayekula kama hamna anayekula basi ampe jamaa aile ili apate hiyo pesa na EX nae naye apate kiinua mgongo
 
Daah!! Naandika kwa masikitiko makubwa hichi kilichonikuta.
Week ilopita bhana uchumi uliyumba, nikasema ngoja nimcheki Ex wangu aniwezeshe kidogo, nikaamua nimtext.

Mimi..." Dear X, kwema".
Ex.... " Kwema sanaa, vipi nawe".
Mimi ... " Niko poah , ila nimechalala hataree , niwezeshe basi 1k naumwa niende hospital"
Ex... " 1k Haina shida, fanya basi mambo yetu nimeyamis hataree".

Khaa!! Yaani kumpa mtu 1k mpaka akupe kitu!! Mbona mnazingua nyie Ma X.

Mnatafuta Hela za nini sasa kama hamuwezi kuzitoa kumsaidia EX wako.

Aliniboa kinoma. Mtu Hela unazo 1k nayo kitu gani kumpa mwenzio.
Wewe unayeomba hela kwa mliyeachana ni mwanamke au mwanaume?
Tuanzie hapo.
 
We nawe hujui kuomba hela, ex haombwi kama mjomba ako.

Ngoja nikufunde kidogo.....ex unamtext unajifanya umemmiss, unaregret nyie kupotezana....afu unajifanya hujui hata mliachanaje achanaje.....unasingizia wachawi waliingilia penzi lenu.....ila hufikirii kuna aliye bora zaidi yake, yani hutapata kama yeye (hapo ushaattack his ego🤣🤣🤣, Mungu mwenyewe anapenda kusifiwa ye nani achomoe)
Afu ndo unamalizia nna shida ya 50k, na unaahidi utairefund (wanaume wanajua kuna njia nyingi za kurefund🤣🤣🤣)
Akituma unamblock.....karibu mjini.
Mwanaume aliekamilika hajai kwenye hizo mbinu nyepesi kiasi hicho. Ni maboya tu wanaojaa kwenye huo mfumo
 
Ila ex nae si alimkulaga huyu muomba pesa? Ampe tu pesa mwenzie......ndo kiinua mgongo cha mapenzi hicho.
Mimi kama tuliachana bila ugomvi na ulikuwa unaniheshim ukija na shida yako kama nipo vizuri nakusaidia tu. Mwanamke alienipa uchi wake willingly na hakuwahi kunionesha dharau fresh tu nambless ila kama aliwahi nionesha madhereu hata muda wa kumjibu sina.
 
Back
Top Bottom