Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Utawadaka wasukuma tu sio born townWe nawe hujui kuomba hela, ex haombwi kama mjomba ako.
Ngoja nikufunde kidogo.....ex unamtext unajifanya umemmiss, unaregret nyie kupotezana....afu unajifanya hujui hata mliachanaje achanaje.....unasingizia wachawi waliingilia penzi lenu.....ila hufikirii kuna aliye bora zaidi yake, yani hutapata kama yeye (hapo ushaattack his ego🤣🤣🤣, Mungu mwenyewe anapenda kusifiwa ye nani achomoe)
Afu ndo unamalizia nna shida ya 50k, na unaahidi utairefund (wanaume wanajua kuna njia nyingi za kurefund🤣🤣🤣)
Akituma unamblock.....karibu mjini.
Kwa uzee huu ndio basi tena!Unasema tu, hujabananishwa vizuri.
K=10001K =1000 hii ndo ulimuomba EX wako
Kwanza sasa hivi inaliwa na nani? Inabidi akaombe kwa anayekula kama hamna anayekula basi ampe jamaa aile ili apate hiyo pesa na EX nae naye apate kiinua mgongoIla ex nae si alimkulaga huyu muomba pesa? Ampe tu pesa mwenzie......ndo kiinua mgongo cha mapenzi hicho.
Wewe unayeomba hela kwa mliyeachana ni mwanamke au mwanaume?Daah!! Naandika kwa masikitiko makubwa hichi kilichonikuta.
Week ilopita bhana uchumi uliyumba, nikasema ngoja nimcheki Ex wangu aniwezeshe kidogo, nikaamua nimtext.
Mimi..." Dear X, kwema".
Ex.... " Kwema sanaa, vipi nawe".
Mimi ... " Niko poah , ila nimechalala hataree , niwezeshe basi 1k naumwa niende hospital"
Ex... " 1k Haina shida, fanya basi mambo yetu nimeyamis hataree".
Khaa!! Yaani kumpa mtu 1k mpaka akupe kitu!! Mbona mnazingua nyie Ma X.
Mnatafuta Hela za nini sasa kama hamuwezi kuzitoa kumsaidia EX wako.
Aliniboa kinoma. Mtu Hela unazo 1k nayo kitu gani kumpa mwenzio.
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sa ex njaa kali namba yake ya nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanaume aliekamilika hajai kwenye hizo mbinu nyepesi kiasi hicho. Ni maboya tu wanaojaa kwenye huo mfumoWe nawe hujui kuomba hela, ex haombwi kama mjomba ako.
Ngoja nikufunde kidogo.....ex unamtext unajifanya umemmiss, unaregret nyie kupotezana....afu unajifanya hujui hata mliachanaje achanaje.....unasingizia wachawi waliingilia penzi lenu.....ila hufikirii kuna aliye bora zaidi yake, yani hutapata kama yeye (hapo ushaattack his ego🤣🤣🤣, Mungu mwenyewe anapenda kusifiwa ye nani achomoe)
Afu ndo unamalizia nna shida ya 50k, na unaahidi utairefund (wanaume wanajua kuna njia nyingi za kurefund🤣🤣🤣)
Akituma unamblock.....karibu mjini.
Mimi kama tuliachana bila ugomvi na ulikuwa unaniheshim ukija na shida yako kama nipo vizuri nakusaidia tu. Mwanamke alienipa uchi wake willingly na hakuwahi kunionesha dharau fresh tu nambless ila kama aliwahi nionesha madhereu hata muda wa kumjibu sina.Ila ex nae si alimkulaga huyu muomba pesa? Ampe tu pesa mwenzie......ndo kiinua mgongo cha mapenzi hicho.