ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mbona maji umejua faida yake na ndo maana unayanywa Kwa bidii na chakula bora una jitahidi kuupatia mwili wako lakini kwanini nguzo moja ya afya bora unaipotezea?
Nayo ni kufanya mazoezi walau ya ku kutoa jasho everyday hasa ya kukimbia kimbia maana ndo rahisi hayachoshi ni safe sana kukimbia hakuna risk za kuumia mazoezini sio kama mpira wa miguu.
Swali ni nini hasa kinachokufanya ushindwe kukimbia mbona kuna kipindi ulifanikiwa kuweza kuwa unafanya? Ni baridi? Au hangover? Au ubusy sana? Uvivu tu? Matatizo ya kiafya? Smartphone? Naomba jibu.