Nipe sababu kwanini hufanyi mazoezi

Nipe sababu kwanini hufanyi mazoezi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mbona maji umejua faida yake na ndo maana unayanywa Kwa bidii na chakula bora una jitahidi kuupatia mwili wako lakini kwanini nguzo moja ya afya bora unaipotezea?

Nayo ni kufanya mazoezi walau ya ku kutoa jasho everyday hasa ya kukimbia kimbia maana ndo rahisi hayachoshi ni safe sana kukimbia hakuna risk za kuumia mazoezini sio kama mpira wa miguu.

Swali ni nini hasa kinachokufanya ushindwe kukimbia mbona kuna kipindi ulifanikiwa kuweza kuwa unafanya? Ni baridi? Au hangover? Au ubusy sana? Uvivu tu? Matatizo ya kiafya? Smartphone? Naomba jibu.
 
Nilidownload App ya namna unaweza kupiga pushapu kwa mitindo tofauti

Hua naenjoy sana napiga pushapu zangu 50-75 kila asubuhi before kuingia job.

Mwili umekaa poa sana kama naingia GYM.

Mazoezi ni Afya tufanyeni zoezi tujenge mwili.
 
GRQ9z63W8AAaFOX.jpeg

Bro umekua mkali.
Kesho ntaanza
 
Nilidownload App ya namna unaweza kupiga pushapu kwa mitindo tofauti

Hua naenjoy sana napiga pushapu zangu 50-75 kila asubuhi before kuingia job.

Mwili umekaa poa sana kama naingia GYM.

Mazoezi ni Afya tufanyeni zoezi tujenge mwili.
Safi sana

Ova
 
Nilikuwa si mfanya mazoezi, basi siku moja nikakata shauri na nikawa nafanya mazoezi ya kupiga push ups kila asubuhi.

Baada ya miezi kadhaa nikakutana na ex wangu. Akaniangaliaa akanishika bega then akasema "aisee umejengeka".

Nikajifanya kama ni normal tu, lakini moyoni nikajua matokeo yameanza kuonekana.

Btw, baada ya kuanza mazoezi maumivu ya mgongo, sjui shingo niliyasahau. Halafu wala sio push ups nyingi, ni 20 hadi 30 tu kila siku.
 
Kwa kodii hii na maisha ya ccm au hupo nchi gani
 
Niliona kila nikitoka mazoezi ndio napata ham zaidi ya kula🫤🫤 halafu nikawa sijinyimi kuna sehemu wanachoma kuku watamu.😋😋 Mlimwa.. n
 
My brain uses so much energy, so much calories hivyo mwili unaji-adjust namna hiyo, though nipo overweight ila najiweza.
 
Mwiguru zakayo na ccm ni mazoezi tosha. Mfano unakamatwa na wasio Julikana wanakutoa ostabey mpaka katavi Bila kupata chakura
Muda wote unadhani JF Ni platform ya kisiasa pole sana kwa stress za CCM... UKIWASHINDWA UNGANA NAO TU
 
Nilidownload App ya namna unaweza kupiga pushapu kwa mitindo tofauti

Hua naenjoy sana napiga pushapu zangu 50-75 kila asubuhi before kuingia job.

Mwili umekaa poa sana kama naingia GYM.

Mazoezi ni Afya tufanyeni zoezi tujenge mwili.
Nitumie hiyo link.
 
Back
Top Bottom