Nipe sababu ya msingi kuu ya kupinga kauli ya kuwa sisi waafrika nchi zetu sio "SHITHOLE COUNTRIES"

Nipe sababu ya msingi kuu ya kupinga kauli ya kuwa sisi waafrika nchi zetu sio "SHITHOLE COUNTRIES"

Design Your Idea

Senior Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
154
Reaction score
480
131577.jpg
 
Sisi siyo shithole countries, bali hatujajua tunapaswa kuishi ktk mfumo gani wa maisha.

Tunafosi uzungu ila uzungu hatuuwezi.

Ukiangalia races mbalimbali, siyo zote zimeiga uzungu 100%, walichukua tu yale yaliyo compatible kwao mengine wakaachana nayo.
 
Kila jamii duniani ina wapumbavu na wajinga, ni occasional na avoidable, ila kwa upande wetu waafrika tumefanya ujinga na upumbavu kuwa utamaduni wetu.

Ofcourse sisi ni shithole countries

-Walevi wa dini
-Mnapinga ubazilifu ila mkiingia kwenye sytem mnakuwa promax
-You make stupid people famous
-Mnaazana bila mipango
-mnaendekeza mambo ya kufikirika kuliko ya kushikika
 
Ndio maana, south Africa chama cha makaburu kinarudi Kwa kishindo,walikosea tuu ubaguzi uliopitiza,ukiondoa Mandela waliofuata kashfa tupu ya Rushwa!
 
Nikiwaza tu namna tulivyo na maliasili nyingi lakini bado tunaomba misaada, nakosa namna ya kupingana na wewe kabisa.
Mithali 11:22
[22]Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe,
Kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili.
 
Sisi siyo shithole countries, bali hatujajua tunapaswa kuishi ktk mfumo gani wa maisha.

Tunafosi uzungu ila uzungu hatuuwezi.

Ukiangalia races mbalimbali, siyo zote zimeiga uzungu 100%, walichukua tu yale yaliyo compatible kwao mengine wakaachana nayo.
Senge limeanzisha mada
 
Kila jamii duniani ina wapumbavu na wajinga, ni occasional na avoidable, ila kwa upande wetu waafrika tumefanya ujinga na upumbavu kuwa utamaduni wetu.

Ofcourse sisi ni shithole countries

-Walevi wa dini
-Mnapinga ubazilifu ila mkiingia kwenye sytem mnakuwa promax
-You make stupid people famous
-Mnaazana bila mipango
-mnaendekeza mambo ya kufikirika kuliko ya kushikika
Halafu senge limekuja kuchangia mada yake
 
Back
Top Bottom