Nipe sifa ya jamii hii ya mbwa

Mbwa inategemea na mafunzo na jinsi ulivyomfuga.
Huyu mbwa ni mzuri sana na wanaupendo sana kwa binadamu hasa aliyemfuga.
Ukimfuga vizuri anakuwa mlinzi mzuri tuu.

Wengi mnaolalamika hapa ni vilaza na hamna uwezo wa kufuga mbwa vizuri zaidi ya kulisha mbwa makombo.
watanzania wengi vilaza wanapenda majibu ya kujiona wanachekesha.
Wote mliopondea jamii ya hao mbwa wanafiki mkubwa.
 
Wanyama wanatabia ya kufanana na mfugaji kwanzia tabia mpaka sura kwa hiyo unataka kusemaje kuhusu sisi wa Tanzania[emoji849]
 
Sio mafunzo tu mkuu kuna asili ya mbwa ni wakali hata wasipo pata matunzo
 
Akifugwa na mzungu huwa ni mbwa mwenye akili, mlinzi na hodari.

Akifugwa na msambaa, mpare au msukuma ndo wale wanaokula mapera na mahindi wanapata constipation usiku saa ya haja wanalia kwa uchungu wasambaa na wenzao wanasema ameona mchawi.
 
KWELI KABISAA

NAKAZIA
 
Hao MBWA ni wazuri tena sana, tatizo hawafugwi inavyotakiwa, hawapewi chakula wala DAWA.

Mbwa wanachakaa, wana minyoo na magonjwa ya ngozi lazima wawe MAPOYOYO.

Halafu kwa desturi ya Tanganyika, mtu akimuona mbwa lazima AMTUPIE JIWE! UPUMBAVU na UKICHAA.

Ndio maana majibwa yamegeuka kuwa MAKOKO, hawabweki WAMEFYATA MIKIA TU kwa sababu ya kurushiwa mawe 24 hrs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…