Sifa za wanaume wa Dar
1-Wanavaa nguo za ndani za dada zao /wachumba zao
2:-Wanafanya scrubbing
3:-Wanakula chips na fanta as a meal.
4:-Wanaweka sukari kwenye maharagwe.
5:-Mahindi choma anaweka ndimu na pilipili.
6:- Kila mmoja anakaa mbezi beach hata kama kazaliwa Tandale kwa mfuga mbwa.
7:-Wanavaa crazy colour,yani jeans ya njano,shati Blue,Miwani pink alafu kubwa kama side mirror ya Fusso,
8:- Wanavaa pete za majini toka Congo.
9:/Wanaangalia tamdhilia kama dada zao ,za kifilipino.
10:- Hawaogi,bali wanapiga 'passport'
11:- Hupenda kuzunguka zunguka mliman city bila shughuli maalum.
12:- Hawapigi kura ila wa kwanza kulaumu serikali.