Nipe sifa za wanaume wa Dar

Nipe sifa za wanaume wa Dar

Mahendisamu
Wana mkwanja wa kutosha
Wanatembelea makalio
Wanawabebez wakarez
Wananukia mafanikio
Wanaume wa shinyanga ndio mashamba boi wao.
Wanawake wa shinyanga wanajipendekeza kwao.
Zipo nyingi sana.... Kwa leo chache ndio hizo.
 
Wanapenda kunywa Maji mengi ili wawe weupe

Wanapenda kuongelea na kuchunguza maisha ya watu kuliko kufanya kazi..

Kuvaa nguo za dada zao ili wabane tako lao.

Mapunga

Wanabana sauti
 
Wamnea kinoma mara nyingi asubuhi utawakuta wamekaa mlangoni hasa nyumba za kupanga ukitoka ukirud tena utasikia unaulizwa mbona umerud???
 
Sifa za wanaume wa Dar
1-Wanavaa nguo za ndani za dada zao /wachumba zao

2:-Wanafanya scrubbing

3:-Wanakula chips na fanta as a meal.

4:-Wanaweka sukari kwenye maharagwe.

5:-Mahindi choma anaweka ndimu na pilipili.

6:- Kila mmoja anakaa mbezi beach hata kama kazaliwa Tandale kwa mfuga mbwa.

7:-Wanavaa crazy colour,yani jeans ya njano,shati Blue,Miwani pink alafu kubwa kama side mirror ya Fusso,

8:- Wanavaa pete za majini toka Congo.

9:/Wanaangalia tamdhilia kama dada zao ,za kifilipino.

10:- Hawaogi,bali wanapiga 'passport'

11:- Hupenda kuzunguka zunguka mliman city bila shughuli maalum.

12:- Hawapigi kura ila wa kwanza kulaumu serikali.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji28] [emoji28] hizo sifa balaaa
 
1.Wana pesa mbovu.
2.Ukijiregeza unaliwa tigo
3.Wanapenda sana kula pweza na ngisi
 
Back
Top Bottom