comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Acha zako, wewe unayo?Hamna sio hivyo,
Malaya
Mwanamke asie na bikira
Tofauti ni bei, ww ndo uchague unataka KAWAIDA, VIP au VVIP...Malaya
Mwanamke aliekua na mwanaume zaidi ya mmoja
Changudoa
Wale wanaojipanga barabarani Kwa mafungu, buku 5 unapiga
Kahaba
Wale wanaojiuza na kupost video zao kwenye Mitandao bila kuficha hata Sura,
Malaya ni yule anayefanya kwa passion ili kuenjoy tu.Malaya
Mwanamke aliekua na mwanaume zaidi ya mmoja
Changu doa ni yule anafanya ili kujipatia kipato,yani ameugeuza mwili wake kua bidhaa.Changudoa
Wale wanaojipanga barabarani Kwa mafungu, buku 5 unapiga
Kahaba yeye ana fit pote pote kwenye hizo rank hapo juu.Kahaba
Wale wanaojiuza na kupost video zao kwenye Mitandao bila kuficha hata Sura,
Tofauti yao ni Nikama tofauti ya POLISI,MGAMBO ,MWANAJESHI au kama MWIZI , TAPELI , JAMBAZIMalaya