DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Ft Chid humu aiseee, Chid nae wamoto saaana hapoKuna wengine kwa kifupi washapotea/ Umeambiwa usiyaguse maji kama hauwezi kuogelea/ wamebaki kutapa tapa wameishiwa cha kuongea/ wamebaki kum diss ngwea/
HUYU JAMAA ALIKUA MKALI SANA SEMA BASI TU CJUI KILA MTU ANA BAHATI YAKE
Mwanangu hiyo Mapenzi gani daaah🙌🏻🙌🏻🙌🏻🔥 Flow moja kali saaanaLeo hii pasi na kujua ila nimesikiliza ngoma zake kadhaa kama
1.Mapenzi gani ft Jide
2.Cnn
3.Salam (hii nimerudia sana)inabidi Jakaya amlipe tena Ngwair
4.speed 120
4. She got gwan1.Nipeni deal
2. Msela
3. Tupo juu
4.... ile ngoma yupo na dark She got nini sijui ..ile style anayoflow dark master ilifanya waleteane tabwe kati yake na lord eyez nani alikop wapi..
5. Cnn
Uko vizuri .. Wanawake wa arusha sio kabisa4. She got gwan
Tukianzia uzuri tuuu
She got gwan
Tabia, heshima ndo huyo doo
She got gwan 😃😃😃
😀😀😀 huvumii mjomba kobeView attachment 2815448 It's my ringtone!
Wachomeni moto 😃😃Uko vizuri .. Wanawake wa arusha sio kabisa
Tutawapeleka shamba.. jembe linawasumbua sanaWachomeni moto 😃😃
Jembe linatusumbuaje na unaona kila nyumba kunae mgombaTutawapeleka shamba.. jembe linawasumbua sana
Hajui mwana alikua maarafu bila insta wala youtube alikiki bongo nzima mpaka kenyaKafa ndio akawa maarufu? Ulikuwa na umri gani wakati A.K.A Mimi Album imesimamisha nchi? Ulikuwa wapi wakati Fid anarudia vesi. Ulikuwa wapi wakati Mikasi ni nation anthem?
huo n mfumo tuKwanini sifa zisiwe mtu akiwa hai?
Kuna shida mahali
Na usione tumepinda migongo,Ile verse yake kwenye ngoma ya msela ndio verse yangu bora zaidi kutoka kwake.
We endelea kuka bia chali nikapate gongo,Na usione tumepinda migongo,
Ukadhani ni vibiongo,
Pengine ni ufupi tu wa mlango,
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]