Nipe top5 ya ngoma unazozikubali kutoka kwa Ngwea

Nipe top5 ya ngoma unazozikubali kutoka kwa Ngwea

Kuna wengine kwa kifupi washapotea/ Umeambiwa usiyaguse maji kama hauwezi kuogelea/ wamebaki kutapa tapa wameishiwa cha kuongea/ wamebaki kum diss ngwea/

HUYU JAMAA ALIKUA MKALI SANA SEMA BASI TU CJUI KILA MTU ANA BAHATI YAKE
 
Leo hii pasi na kujua ila nimesikiliza ngoma zake kadhaa kama
1.Mapenzi gani ft Jide
2.Cnn
3.Salam (hii nimerudia sana)inabidi Jakaya amlipe tena Ngwair
4.speed 120
 
Ft Chid humu aiseee, Chid nae wamoto saaana hapo
 
Leo hii pasi na kujua ila nimesikiliza ngoma zake kadhaa kama
1.Mapenzi gani ft Jide
2.Cnn
3.Salam (hii nimerudia sana)inabidi Jakaya amlipe tena Ngwair
4.speed 120
Mwanangu hiyo Mapenzi gani daaah🙌🏻🙌🏻🙌🏻🔥 Flow moja kali saaana
 
1.Nipeni deal
2. Msela
3. Tupo juu
4.... ile ngoma yupo na dark She got nini sijui ..ile style anayoflow dark master ilifanya waleteane tabwe kati yake na lord eyez nani alikop wapi..
5. Cnn
 
Mikasi na sikiliza ndo nyimbo zangu Bora kutoka kwa Ngwea
 
Kafa ndio akawa maarufu? Ulikuwa na umri gani wakati A.K.A Mimi Album imesimamisha nchi? Ulikuwa wapi wakati Fid anarudia vesi. Ulikuwa wapi wakati Mikasi ni nation anthem?
Hajui mwana alikua maarafu bila insta wala youtube alikiki bongo nzima mpaka kenya
 
She got a gwan
Weekend
Mademu wangu
Sikiliza
Mikasi

Ngoma zake karibia zote ni kali jamaa alikuwa na kipaji sana ndo vile bongo bahati mbaya
 
We endelea
Na usione tumepinda migongo,
Ukadhani ni vibiongo,
Pengine ni ufupi tu wa mlango,

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
We endelea kuka bia chali nikapate gongo,
Mradi wote tuwe stimu, ndio life la kibongo
 
Back
Top Bottom