Nipendezwa na Tigo kubadilisha hili jina lilokuwa limeanza kuwa na maana mbovu

Kwahiyo na mimi natakiwa niende google nika seach pakijinja alafu nikilete maana yake, kisha moja kwa moja nikwambie maana yake ni hii, bila kukuhoji wewe ulimaanisha nini au sababu zipi zimepelekea kujiita hivyo
 
Kama unaniona mimi ni Global Ahsante na ndiyo.
 
Dah ungejua ungelia kabisa,,,,, yani bora hata lile la tigo hili ndo lgbt laivu laivu
 
Yas ni aina ya neno madaha linalotumika na jamii ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja kuelezea hali ya kupata utamu au furaha.

Limetokana na neno Yes.

Umeijua maana yake sasa Mkuu?
Wabongo hamkawii mpo mbele ya mda msha jiongeza
 
Wabongo hamkawii mpo mbele ya mda msha jiongeza
Nilikuwa natafuta maana ya neno Mkuu, nilichokikuta ndio hicho.

Sijui kwanini limekubaliwa na mamlaka ilihali tuna sera ya kukataa majina yanayoelekea kuwa na mrengo tofauti na maadili yetu. Na mifano ipo ya yaliyowahi kukataliwa hadi ya watu wakubwa.
 
Naomba nyashi ya jero
Nyashi tapata?
NošŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…