Bwana Bongo
Senior Member
- Dec 12, 2021
- 146
- 212
- Thread starter
- #21
Kwahiyo na mimi natakiwa niende google nika seach pakijinja alafu nikilete maana yake, kisha moja kwa moja nikwambie maana yake ni hii, bila kukuhoji wewe ulimaanisha nini au sababu zipi zimepelekea kujiita hivyoSisi tunafsiri katika Global context, kumbuka hiyo ni Global company, siyo kampuni ya kijijini.
Kwa kuwa ni Global kampani, kila wafanyacho hukifanya katika Global context na perspective, so hiyo maana unayosema hawakumaanisha wao ndiyo walichomaanisha