Madamu Umekwenda Hospitali na kutibiwa maradhi yako na hujapona fanya hivi tumia Dawa yangu hii hapa kisha uje unipe feedback mimi. Dawa ya ngiriNaumwa korodani yapata mwaka sasa. Maumivu ninayoyasikia si ya kawaida..misuli ya mapaja inabana na sehemu ya tumbo chini ya kitovu inauma hadi najisikia kuchechemea wakati mwingine. Nimehudhuria kwa madaktari wengi bingwa wa magonjwa ya zinaa lakini hauonekani ugonjwa wowote. Nimefanya vipimo vya cancer...siumwi kitu.... Naombeni tiba mbadala nimekata tamaa.
Vipi Bwana mdogo hujambo lakini?Pole sana mkuu Mwite MziziMkavu akusaidie
Naumwa korodani yapata mwaka sasa. Maumivu ninayoyasikia si ya kawaida..misuli ya mapaja inabana na sehemu ya tumbo chini ya kitovu inauma hadi najisikia kuchechemea wakati mwingine. Nimehudhuria kwa madaktari wengi bingwa wa magonjwa ya zinaa lakini hauonekani ugonjwa wowote. Nimefanya vipimo vya cancer...siumwi kitu.... Naombeni tiba mbadala nimekata tamaa.
Madamu Umekwenda Hospitali na kutibiwa maradhi yako na hujapona fanya hivi tumia Dawa yangu hii hapa kisha uje unipe feedback mimi. Dawa ya ngiri
Chukua Dawa za aina mbili (1) kalkariyaat Gramu 50 na (2 ) Sanamaki gramu 50halafu changanya kwa ujazo sawa. Na hakikisha imechanganyika
vema na zote ziwe za unga
kisha chota vijiko vinne na unaweka pamoja na maji lita moja halafu chemsha yachemke hadi yakauke yabaki nusu lita
kunywa kikombe asubuhi na kikombe usiku utafanya hivyo kwa siku kumi na moja
Vipi Bwana mdogo hujambo lakini?
Naumwa korodani yapata mwaka sasa. Maumivu ninayoyasikia si ya kawaida..misuli ya mapaja inabana na sehemu ya tumbo chini ya kitovu inauma hadi najisikia kuchechemea wakati mwingine. Nimehudhuria kwa madaktari wengi bingwa wa magonjwa ya zinaa lakini hauonekani ugonjwa wowote. Nimefanya vipimo vya cancer...siumwi kitu.... Naombeni tiba mbadala nimekata tamaa.
mkuu umejaribu kupima ugonjwa unaitwa brucelosis?...brucelosis hua ina dalili kama hizo, migratory athralgia and myalgia ( kuumwa na nyonga na misuli) pamoja na orchitis ( kuumwa kwa korodani)...kama umerun out of ideas mkuu nenda kapime hiyo brucella na hasa kama wewe ni mnywaji wa maziwa ambayo hayajachemshwa kama mgando.
Nenda Sokoni kariakoo kaulize mahali wanapouza Dawa za kisunna utazipata hizo dawa zote.Asanteni kwa ushauri wenu, nitafanya kama mlivoniagiza. MZIZI MKAVU naomba unielekeze hizo dawa zinapatikana kwenye maduka yapi.
Mkuu hiyo Dawa unayompa inatibu maradhi ya ngozi sasa huyu mkuu God bell amesema haumwi maradhi ya ngozi mbona unashindwa kumuelewa jinsi alivyosema? Amesema kuwa anaumwa na korodani sasa wapi wapi korodani na maradhi ya ngozi? mbona unampa ushauri tofauti na hayo maradhi anayoumwa? Soma dawa uliyo towa maelezo yake hapa chini:Nitumie Mimi GENTAMYCINE Utapona tu Kwani Ni Dawa Kiboko Ya Magonjwa Karibia Mengi Sugu Isipokuwa Ngoma!
Asante mkuu. Nitaenda kuzitafuta