Nipeni dawa, Madaktari wameshindwa

Nipeni dawa, Madaktari wameshindwa

God bell

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2011
Posts
590
Reaction score
210
Naumwa korodani yapata mwaka sasa.

Maumivu ninayoyasikia si ya kawaida..misuli ya mapaja inabana na sehemu ya tumbo chini ya kitovu inauma hadi najisikia kuchechemea wakati mwingine.

Nimehudhuria kwa madaktari wengi bingwa wa magonjwa ya zinaa lakini hauonekani ugonjwa wowote.

Nimefanya vipimo vya cancer...siumwi kitu.... Naombeni tiba mbadala nimekata tamaa.
 
Dah pole sana Ngoja wataalam waje
Mwenyez Mungu Mkubwa mtegemee yeye tú utapona
 
Wewe unaishi wapi? Nenda kwa wanatoa tiba mbadala sanitarium clinics unaweza kupataa nafuu ya haraka.
 
huenda una infection ya Proteus spp ya muda mrefu- nenda pale tmj na fanya c/s ya mkojo-msu
 
Hiyo ni ngiri Mkuu.Si ugonjwa wa kihospitali sana.Inatibika kitamaduni tu

Mzee Tupatupa
 
MKUU ngiri hiyo.
hiyo IPO kiasili zaidi
 
Maombi ndugu!!! Kafanyiwe maombi huenda Mungu akakuponya....

NB: Hospitali pia ni muhimu..
 
Naumwa korodani yapata mwaka sasa. Maumivu ninayoyasikia si ya kawaida..misuli ya mapaja inabana na sehemu ya tumbo chini ya kitovu inauma hadi najisikia kuchechemea wakati mwingine. Nimehudhuria kwa madaktari wengi bingwa wa magonjwa ya zinaa lakini hauonekani ugonjwa wowote. Nimefanya vipimo vya cancer...siumwi kitu.... Naombeni tiba mbadala nimekata tamaa.
Madamu Umekwenda Hospitali na kutibiwa maradhi yako na hujapona fanya hivi tumia Dawa yangu hii hapa kisha uje unipe feedback mimi. Dawa ya ngiri

Chukua Dawa za aina mbili (1) kalkariyaat Gramu 50 na (2 ) Sanamaki gramu 50halafu changanya kwa ujazo sawa. Na hakikisha imechanganyika

vema na zote ziwe za unga

kisha chota vijiko vinne na unaweka pamoja na maji lita moja halafu chemsha yachemke hadi yakauke yabaki nusu lita

kunywa kikombe asubuhi na kikombe usiku utafanya hivyo kwa siku kumi na moja

Pole sana mkuu Mwite MziziMkavu akusaidie
Vipi Bwana mdogo hujambo lakini?
 
Naumwa korodani yapata mwaka sasa. Maumivu ninayoyasikia si ya kawaida..misuli ya mapaja inabana na sehemu ya tumbo chini ya kitovu inauma hadi najisikia kuchechemea wakati mwingine. Nimehudhuria kwa madaktari wengi bingwa wa magonjwa ya zinaa lakini hauonekani ugonjwa wowote. Nimefanya vipimo vya cancer...siumwi kitu.... Naombeni tiba mbadala nimekata tamaa.

mkuu umejaribu kupima ugonjwa unaitwa brucelosis?...brucelosis hua ina dalili kama hizo, migratory athralgia and myalgia ( kuumwa na nyonga na misuli) pamoja na orchitis ( kuumwa kwa korodani)...kama umerun out of ideas mkuu nenda kapime hiyo brucella na hasa kama wewe ni mnywaji wa maziwa ambayo hayajachemshwa kama mgando.
 
Asanteni kwa ushauri wenu, nitafanya kama mlivoniagiza. MZIZI MKAVU naomba unielekeze hizo dawa zinapatikana kwenye maduka yapi.
 
Madamu Umekwenda Hospitali na kutibiwa maradhi yako na hujapona fanya hivi tumia Dawa yangu hii hapa kisha uje unipe feedback mimi. Dawa ya ngiri

Chukua Dawa za aina mbili (1) kalkariyaat Gramu 50 na (2 ) Sanamaki gramu 50halafu changanya kwa ujazo sawa. Na hakikisha imechanganyika

vema na zote ziwe za unga

kisha chota vijiko vinne na unaweka pamoja na maji lita moja halafu chemsha yachemke hadi yakauke yabaki nusu lita

kunywa kikombe asubuhi na kikombe usiku utafanya hivyo kwa siku kumi na moja

Vipi Bwana mdogo hujambo lakini?

Nashukuru kaka mimi mzima sana. Sijui wewe?
 
Naumwa korodani yapata mwaka sasa. Maumivu ninayoyasikia si ya kawaida..misuli ya mapaja inabana na sehemu ya tumbo chini ya kitovu inauma hadi najisikia kuchechemea wakati mwingine. Nimehudhuria kwa madaktari wengi bingwa wa magonjwa ya zinaa lakini hauonekani ugonjwa wowote. Nimefanya vipimo vya cancer...siumwi kitu.... Naombeni tiba mbadala nimekata tamaa.

Nitumie Mimi GENTAMYCINE Utapona tu Kwani Ni Dawa Kiboko Ya Magonjwa Karibia Mengi Sugu Isipokuwa Ngoma!
 
mkuu umejaribu kupima ugonjwa unaitwa brucelosis?...brucelosis hua ina dalili kama hizo, migratory athralgia and myalgia ( kuumwa na nyonga na misuli) pamoja na orchitis ( kuumwa kwa korodani)...kama umerun out of ideas mkuu nenda kapime hiyo brucella na hasa kama wewe ni mnywaji wa maziwa ambayo hayajachemshwa kama mgando.

Brucella sijapima mkuu. Nitaenda kupima. Asante kwa kunifahamisha hilo.
 
Nitumie Mimi GENTAMYCINE Utapona tu Kwani Ni Dawa Kiboko Ya Magonjwa Karibia Mengi Sugu Isipokuwa Ngoma!
Mkuu hiyo Dawa unayompa inatibu maradhi ya ngozi sasa huyu mkuu God bell amesema haumwi maradhi ya ngozi mbona unashindwa kumuelewa jinsi alivyosema? Amesema kuwa anaumwa na korodani sasa wapi wapi korodani na maradhi ya ngozi? mbona unampa ushauri tofauti na hayo maradhi anayoumwa? Soma dawa uliyo towa maelezo yake hapa chini:

GENTAMICIN TOP USES

This medication is used to treat minor skin infections (such as impetigo, folliculitis) or minor infections related to some skin conditions (such as eczema, psoriasis, minor burns/cuts/wounds). Gentamicin works by stopping the

growth of certain bacteria. It belongs to a class of drugs known as aminoglycoside antibiotics.
Gentamicin cream is usually used for wet, oozing, greasy types of skin infections. Gentamicin ointment helps to

keep moisture in the skin, so it is usually used for dry types of skin infections.
This antibiotic only treats bacterial infections. It will not work for virus or fungus infections. Unnecessary use or overuse of any antibiotic can lead to its decreased effectiveness.

How to use gentamicin top
This medication is for use on the skin only.

Wash your hands before using. Clean and dry the affected area as directed. If you are treating impetigo, remove any dried, crusty skin to increase contact between the antibiotic and the infected area. Then gently apply a small

amount of medication in a thin layer as directed by your doctor, usually 3 to 4 times a day. You may cover the area with a sterile gauze bandage if so directed. Keep the infected area clean. Wash your hands after use, unless you are using this product to treat the hands.

Avoid getting this medication in your eyes, nose, or mouth. If this occurs, wipe off the medication and rinse thoroughly with water.

Dosage and length of treatment is based on your medical condition and response to treatment.
Use this medication regularly to get the most benefit from it. To help you remember, use it at the same times each

day. Do not apply large amounts of this medication, use it more often, or use it for longer than prescribed. Your condition will not improve any faster, and your risk of side effects may increase.

Continue to use this medication for the full length of treatment prescribed, even if symptoms disappear after a few days. Stopping the medication too early may allow bacteria to continue to grow, which may result in a return of the infection.

Tell your doctor if your skin infection persists or if it worsens. Source.
http://www.webmd.com/drugs/drug-75145-gentamicin+top.aspx

Last edited by a moderator:
Zikishindikana zote tafuta watu imani ama uwombewe, kwa sisi wataalamu n mimi pia nimewahi kuumwa hilo ni tego la uchawi kuna mtu kakutegea, kama unafanya kazi kuna mtu anaitaka hiyo nafasi au kuna watu umewafanyia unoko kwa wameamua kukufanyia hivyo, kwa hata uwende ukapime India huwezi kuona.
 
Back
Top Bottom