bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Bei, ubora na sifa zake nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei, ubora na sifa zake nyingineView attachment 1726878
Ahsant sana cuteeyes, kuna jamaa nmemuulizia yupo mitaa ya aggrey anauza elf28 kwa sifa hizi ntachukuaMousuf ni balaa inanukia kwanza inanukia vizuri, harufu haikeri, inadumu kwenye nguo muda mrefu bei yake inaanza Tsh 35,000/= inaweza kupanda kutokana na eneo ulilopo
Kama hujawahi tumia try it hautojutia
Ahsant sana cuteeyes, kuna jamaa nmemuulizia yupo mitaa ya aggrey anauza elf28 kwa sifa hizi ntachukua
Bei, ubora na sifa zake nyingineView attachment 1726878
Ahsant sana cuteeyes, kuna jamaa nmemuulizia yupo mitaa ya aggrey anauza elf28 kwa sifa hizi ntachukua
Pia kuna iliyokua upgraded wameongeza vionjo kidogo inaitwa mousuf ramadi nayo ni nzuri
Duh! Mimi nikadhani ni valeur au Gordon'sMousuf ni balaa inanukia kwanza inanukia vizuri, harufu haikeri, inadumu kwenye nguo muda mrefu bei yake inaanza Tsh 35,000/= inaweza kupanda kutokana na eneo ulilopo
Kama hujawahi tumia try it hautojutia
Ya kiume ama?
Duh! Mimi nikadhani ni valeur au Gordon's
Unisex anatumia yoyote
Shukran sana, fasta tu naibebaPia kuna iliyokua upgraded wameongeza vionjo kidogo inaitwa mousuf ramadi nayo ni nzuri
[emoji3][emoji3] kwel mkuu umakin muhim hapaAngalia uchukue OG usije pigwa
Shukran sana, fasta tu naibeba