Sure, wale ambao wako established tayari watakupa shida. Tafuta wale ambao wanapiga kazi lakini mtaji unayumba balaa ndiyo watakua na uchungu wa kazi na hawana vitamaaNi kweli watu wanavyokuwa wengi usumbufu lazima uwepo, kwa mtazamo tu, hela utakayoiweka mwanzoni ndio hiyo hiyo itakuwa inajiendesha, muhimu tu mauzo yawe mazuri kwa siku.
Kama nguvu kubwa nitaweka kwenye kupata wasimamizi wazuri, nadhani biashara inaweza ikaenda vizuri; ingawa nawalenga wamama waliopitia magumu katika maisha, nadhani watakuwa na uchungu na kazi
Sure, wale ambao wako established tayari watakupa shida. Tafuta wale ambao wanapiga kazi lakini mtaji unayumba balaa ndiyo watakua na uchungu wa kazi na hawana vitamaa
That’s the way. Targeting TZS 200 from low class but for masses accumulates wealth overtime rather than waiting a rich to pay TZS 10k on your business.Nitakachokifanya nitaanza na wasaidizi watatu; nitawapiga shule, ili wapate uelewa kampuni inataka nini, na inataka iwaweze watu gani, na baada ya hapo wataenda field, kuangalia wenye sifa ya uhitaji.
Baada ya hapo tutaingia makubaliano, na kuanza kuwezesha, na kila jioni kunakuwepo na ufungaji wa mahesabu.
Ni kweli watu wanavyokuwa wengi usumbufu lazima uwepo, kwa mtazamo tu, hela utakayoiweka mwanzoni ndio hiyo hiyo itakuwa inajiendesha, muhimu tu mauzo yawe mazuri kwa siku.
Kama nguvu kubwa nitaweka kwenye kupata wasimamizi wazuri, nadhani biashara inaweza ikaenda vizuri; ingawa nawalenga wamama waliopitia magumu katika maisha, nadhani watakuwa na uchungu na kazi