Sure, wale ambao wako established tayari watakupa shida. Tafuta wale ambao wanapiga kazi lakini mtaji unayumba balaa ndiyo watakua na uchungu wa kazi na hawana vitamaaNi kweli watu wanavyokuwa wengi usumbufu lazima uwepo, kwa mtazamo tu, hela utakayoiweka mwanzoni ndio hiyo hiyo itakuwa inajiendesha, muhimu tu mauzo yawe mazuri kwa siku.
Kama nguvu kubwa nitaweka kwenye kupata wasimamizi wazuri, nadhani biashara inaweza ikaenda vizuri; ingawa nawalenga wamama waliopitia magumu katika maisha, nadhani watakuwa na uchungu na kazi