Duh! Umechoka na maisha? Sali na utubie dhambi zako kabla ya safariAman iwe nanyi wakuu
Leo niko safari froma mwanza to Dar lakin niko na mnyama mkali sana mzee wa kuchanga mbuga ranger ford
Ebhana ee
Nitakuwa nawapa update ya safari na njian kwa ujmla
Safari nitaanza saa kumi na mbili jion kwa sababu naogopa matrafik na fain na jum zisizo na maana
Ukisia ajari ya ford kwa kesho au leo usiku bas jua ni mimi mwana jf mwenzio beira boy from LONDON
Hivyo msiache kutoa IRP zenu ndugu zangu
Nikishatoka usagara tu kuitafuta tinde itakuwa ni habari nyingine nitaondoka usagara misungwi mwanza kwa kitwanga mawe tatu kwa Mwendo wa rocket
Japo safari nitaianzia home igoma
LONDON BOY
wapi update! au umekutana na mkuu @kidukulilo akakukodishia Airbus nzima kwa 200,000,000 isi usijichoshe maana wewe na jamaa huyo mna vinasaba vinavyofanana
Itakua Beira amepewa lift na Kiduku Lilo kwenye ile Ford Ranger yake anayoitumiaga kununulia samaki ferry.
wapi update! au umekutana na mkuu @kidukulilo akakukodishia Airbus nzima kwa 200,000,000 isi usijichoshe maana wewe na jamaa huyo mna vinasaba vinavyofanana
Itakua Beira Boy amepewa lift na Kiduku Lilo kwenye ile Ford Ranger yake anayoitumiaga kununulia samaki ferry.
Acha usanii!Igoma hatuna hiyo gari na haijawai onekana nyumba yeyote.Nipo Ndama hapa!Aman iwe nanyi wakuu