Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu cha muhimu tambua kuwa vile vibao vya 50 wamewekewa watu kama nyie .ila kwa ushauri wangu ukitaka usafiri vizuri ondoka au anza safari saa 9 la sivyo ukiendesha speed tupo hapa kungojea parapanda ilie.Aman iwe nanyi wakuu
Leo niko safari froma mwanza to Dar lakin niko na mnyama mkali sana mzee wa kuchanga mbuga ranger ford
Ebhana ee
Nitakuwa nawapa update ya safari na njian kwa ujmla
Safari nitaanza saa kumi na mbili jion kwa sababu naogopa matrafik na fain na jum zisizo na maana
Ukisia ajari ya ford kwa kesho au leo usiku bas jua ni mimi mwana jf mwenzio beira boy from LONDON
Hivyo msiache kutoa IRP zenu ndugu zangu
Nikishatoka usagara tu kuitafuta tinde itakuwa ni habari nyingine nitaondoka usagara misungwi mwanza kwa kitwanga mawe tatu kwa Mwendo wa rocket
Japo safari nitaianzia home igoma
LONDON BOY
vyovyote iwavyo kutumia masaa saba mwanza to dar kwa njia ya barabara ni ndoto,haiwezekani,,,,,,simple analysis ni et utumie masaa manne mwanza Dom halaf masaa matatu Dom dar,kwa njia ya barabara haitawezekana kwa uzoefu wangu na hiyo njia,haitawezekana,,,,,,,,acha kuota ndoto za kufakufaAman iwe nanyi wakuu
Leo niko safari froma mwanza to Dar lakin niko na mnyama mkali sana mzee wa kuchanga mbuga ranger ford
Ebhana ee
Nitakuwa nawapa update ya safari na njian kwa ujmla
Safari nitaanza saa kumi na mbili jion kwa sababu naogopa matrafik na fain na jum zisizo na maana
Ukisia ajari ya ford kwa kesho au leo usiku bas jua ni mimi mwana jf mwenzio beira boy from LONDON
Hivyo msiache kutoa IRP zenu ndugu zangu
Nikishatoka usagara tu kuitafuta tinde itakuwa ni habari nyingine nitaondoka usagara misungwi mwanza kwa kitwanga mawe tatu kwa Mwendo wa rocket
Japo safari nitaianzia home igoma
LONDON BOY
mkuu kati ya ziba na igunga kuna mashimo hapo kuwa muangalifuAman iwe nanyi wakuu
Leo niko safari froma mwanza to Dar lakin niko na mnyama mkali sana mzee wa kuchanga mbuga ranger ford
Ebhana ee
Nitakuwa nawapa update ya safari na njian kwa ujmla
Safari nitaanza saa kumi na mbili jion kwa sababu naogopa matrafik na fain na jum zisizo na maana
Ukisia ajari ya ford kwa kesho au leo usiku bas jua ni mimi mwana jf mwenzio beira boy from LONDON
Hivyo msiache kutoa IRP zenu ndugu zangu
Nikishatoka usagara tu kuitafuta tinde itakuwa ni habari nyingine nitaondoka usagara misungwi mwanza kwa kitwanga mawe tatu kwa Mwendo wa rocket
Japo safari nitaianzia home igoma
LONDON BOY
Mkuu naondoka usiku na kaa ukijua usiku hakuna sheria za barabaran
My favorite, thus y nikajipa hiyo ID.Beira boy nitafika dar saa sita usiku na nitaondoka mwanza saa kumi na mbili jionView attachment 1211235
Acha usanii!Igoma hatuna hiyo gari na haijawai onekana nyumba yeyote.Nipo Ndama hapa!
"Ranger ford "ni nini ?
Itakuwa msukuma weweAman iwe nanyi wakuu