Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
huwezi tumia masaa saba mwanza dar mimi nakataaa huweziii nachokushauri fwata sheria za usalama barabarani endesha kistaarabu kwani uhai wako ni muhimu kuliko sifa unazozitafuta safari njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwezi tumia masaa saba mwanza dar mimi nakataaa huweziii nachokushauri fwata sheria za usalama barabarani endesha kistaarabu kwani uhai wako ni muhimu kuliko sifa unazozitafuta safari njema
Kwa bara bara za nchi ipi?Masaa kumi tisa na nusu hadi kumi ni angalau fair deal hauko peke yako njian, pengne utalazmika shuka had 50km/hr, pengne hata 140km/hr,, ifahamu vzur njia upitayo sioni mahala unapoweza fika 160-200km/hr ka vp malza😡😡
Nilijua unaongelea mnyama mkali sana BMW hapo ningekubaliana na wewe.Aman iwe nanyi wakuu
Leo niko safari froma mwanza to Dar lakin niko na mnyama mkali sana mzee wa kuchanga mbuga ranger ford
Ebhana ee
Nitakuwa nawapa update ya safari na njian kwa ujmla
Safari nitaanza saa kumi na mbili jion kwa sababu naogopa matrafik na fain na jum zisizo na maana
Ukisia ajari ya ford kwa kesho au leo usiku bas jua ni mimi mwana jf mwenzio beira boy from LONDON
Hivyo msiache kutoa IRP zenu ndugu zangu
Nikishatoka usagara tu kuitafuta tinde itakuwa ni habari nyingine nitaondoka usagara misungwi mwanza kwa kitwanga mawe tatu kwa Mwendo wa rocket
Japo safari nitaianzia home igoma
LONDON BOY
Hizi hiz za bongo hadi 140km/hr anafka sema sehemu nyng za hvyo kwa sasa miji imekuwa, vshimo vya kushtukiza, magar yaliyohrbka na ishara hakuna, ila naona masaa tisa na nusu hadi kumi mwanza dar inawezekana umbal 1160km, roho mkonon😡😡Kwa bara bara za nchi ipi?
usisahau kuweka picha...........Bado sijaianza safari mkuu naianza jion nitawashituen nikianza kuchomoka
R.I.P walevi utakaowagonga na rafiki zangu Bodaboda.Aman iwe nanyi wakuu
Leo niko safari froma mwanza to Dar lakin niko na mnyama mkali sana mzee wa kuchanga mbuga ranger ford
Ebhana ee
Nitakuwa nawapa update ya safari na njian kwa ujmla
Safari nitaanza saa kumi na mbili jion kwa sababu naogopa matrafik na fain na jum zisizo na maana
Ukisia ajari ya ford kwa kesho au leo usiku bas jua ni mimi mwana jf mwenzio beira boy from LONDON
Hivyo msiache kutoa IRP zenu ndugu zangu
Nikishatoka usagara tu kuitafuta tinde itakuwa ni habari nyingine nitaondoka usagara misungwi mwanza kwa kitwanga mawe tatu kwa Mwendo wa rocket
Japo safari nitaianzia home igoma
LONDON BOY
Dar-Dom 3hrsNdoto za alinacha dar to mwanza kwa mda huo..yani hiyo ni mwanza to dodoma tu lazma utumie masaa 7..bado dom to dar