Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

Update

Wakuu nilishindwa kufika dar hivyo ilinibidi nilale morogoro

Safari ilikuwa salama na ndefu sana

Mwendo ulikuwa mkali sana ndugu zangu

Asanten kwa maombi yenu

Ni mimi ndugu yenu ngosha nyanda nkoyi wamwise BEIRA BOY

LONDON BOY
 
Ushawahi kuendesha chombo chochote cha barabarani kwenye barabara inayozungumziwa hapa?
Nilishawahi zaidi ya mara Tano, Mara ya kwanza nilitumia saa 12, baada ya uzoefu saa 10 tu.
Nshagonga berrier ya Misigiri, na wale polisi hawakuona nilikopita.
 
Nilishawahi zaidi ya mara Tano, Mara ya kwanza nilitumia saa 12, baada ya uzoefu saa 10 tu.
Nshagonga berrier ya Misigiri, na wale polisi hawakuona nilikopita.
Hayo masaa 10 unaweza ukayapunguza kuwa 7?
 
Hayo masaa 10 unaweza ukayapunguza kuwa 7?
Jamaa kasema ana ford, tupige mahesabu!!
Akitoka Mwanza hadi Shy town ni mwendo wa 100km/hr, average kwasababu barabara hiyo sio nzuri sana!!
Ukitoka Shy town hadi Tinde hakuna kona kali sana na tuta kali hapo ni moja tu liko eneo linaitwa Nyeregeni, unaingia, Samuye Usanda, Tinde hapo average speed ni 150km/hr...road iko vizuri...

Ukitoka Tinde hadi Nzega pia road iko vizuri, hakuna kona kali wala matuta mazito speed unapunguza kidogo kwenye matuta ya mto Manonga.
So Tinde To Nzega hapo average speed ni 140km/hr at kuna vimji vidogo huwezi pita kwa kasi hasa pale Nata...

Ukitoka Nzega to Igunga kama uko vizuri barabarani na Ford unayotumia iko vizuri average speed ni 160km/hr.

Igunga to Shelui kuna eneo moja tu korofi pale kwenye mpaka wa mkoa wa Tabora na Singida so hapo average inaweza kuwa tena zaidi ya 160km/hr.

Shelui hadi kufika mteremko wa Senkenke kupandishia Misigiri ni almost 80km/hr.
Upite kwenye berrier ya Misigiri.
Baada ya Hapo ni Goti hadi Singida town, barabara ni myoko sana, isipokuwa kwenye ile kona ya barabara inayoelekea Kiomboi... Makadirio ya Misigiri to Singida town average speed ni 150km/hr...

Singida to Manyoni pana mnyooko poa sana, achilia vimatuta vichache vichache kama vile pale Puma na visehemu sehemu... Average speed hapa nampa tena 150km/hr.

Changamoto kidogo ni Manyoni to Bahi hiyo Saranda ndogo ukishuka kiboya inaweza kula kwako... Average speed 100km/hr.

Bahi to Dodoma town pazuriii hapo hata unatembea kwa wastani wa 150km/hr.
Dodoma hadi Gairo 130km/hr.
Gairo to Moro 120km/hr...
Moro to Chalinze 130 hadi 140km/hr...

Chalinze to Dar almost average speed ni 110 hadi 120km/hr...

Wastani wa jumla hapo ni karibia 135km/hr kwa muda wote...
Umbali wa Mwanza to Dar ni Karibia Km 1100 hivi...
So ukiwa na gari nzuri na mzoefu wa Barabara Mwanza to Dar kwa masaa 8 unatoboa kabisa...
 
Update

Wakuu nilishindwa kufika dar hivyo ilinibidi nilale morogoro

Safari ilikuwa salama na ndefu sana

Mwendo ulikuwa mkali sana ndugu zangu

Asanten kwa maombi yenu

Ni mimi ndugu yenu ngosha nyanda nkoyi wamwise BEIRA BOY

LONDON BOY
Ulikuwa na Ford Ranger ama ulikuwa na gari gani mpaka ulale Moro?
 
Wastani wa jumla hapo ni karibia 135km/hr kwa muda wote...
Umbali wa Mwanza to Dar ni Karibia Km 1100 hivi...
So ukiwa na gari nzuri na mzoefu wa Barabara Mwanza to Dar kwa masaa 8 unatoboa kabisa...
Let us assume your approximations and math are correct.

1100km / 135kmph = 8.5hrs

Atahitaji masaa 8 na nusu.

Claim yake ni masaa 7. Unaweza kweli ukaadjust mahesabu yako ukaondoa lisaa lizima na dakika 30 hapo?
 
Back
Top Bottom