Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

huwezi tumia masaa saba mwanza dar mimi nakataaa huweziii nachokushauri fwata sheria za usalama barabarani endesha kistaarabu kwani uhai wako ni muhimu kuliko sifa unazozitafuta safari njema
 
Mkuu naondoka usiku na kaa ukijua usiku hakuna sheria za barabaran
huwezi tumia masaa saba mwanza dar mimi nakataaa huweziii nachokushauri fwata sheria za usalama barabarani endesha kistaarabu kwani uhai wako ni muhimu kuliko sifa unazozitafuta safari njema
 
Masaa kumi tisa na nusu hadi kumi ni angalau fair deal hauko peke yako njian, pengne utalazmika shuka had 50km/hr, pengne hata 140km/hr,, ifahamu vzur njia upitayo sioni mahala unapoweza fika 160-200km/hr ka vp malza😡😡
 
Barabara ni ya shangazi yako? wewe acha kufuata sheria za usalama barabarani uone kama hutafika dar ukiwa maiti. Angalizo hapa ni kwamba mwendo kasi unakufikisha mapema ila unafika ukiwa marehemu!
 
Masaa kumi tisa na nusu hadi kumi ni angalau fair deal hauko peke yako njian, pengne utalazmika shuka had 50km/hr, pengne hata 140km/hr,, ifahamu vzur njia upitayo sioni mahala unapoweza fika 160-200km/hr ka vp malza😡😡
Kwa bara bara za nchi ipi?
 
Nilijua unaongelea mnyama mkali sana BMW hapo ningekubaliana na wewe.

Takataka kama hiyo ford ranger sijui nani si mnyama mkali.
 
Kwa bara bara za nchi ipi?
Hizi hiz za bongo hadi 140km/hr anafka sema sehemu nyng za hvyo kwa sasa miji imekuwa, vshimo vya kushtukiza, magar yaliyohrbka na ishara hakuna, ila naona masaa tisa na nusu hadi kumi mwanza dar inawezekana umbal 1160km, roho mkonon😡😡
 
R.I.P walevi utakaowagonga na rafiki zangu Bodaboda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…