Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

mkuu cha muhimu tambua kuwa vile vibao vya 50 wamewekewa watu kama nyie .ila kwa ushauri wangu ukitaka usafiri vizuri ondoka au anza safari saa 9 la sivyo ukiendesha speed tupo hapa kungojea parapanda ilie. NAKUTAKIA SAFARI NJEMA
 
vyovyote iwavyo kutumia masaa saba mwanza to dar kwa njia ya barabara ni ndoto,haiwezekani,,,,,,simple analysis ni et utumie masaa manne mwanza Dom halaf masaa matatu Dom dar,kwa njia ya barabara haitawezekana kwa uzoefu wangu na hiyo njia,haitawezekana,,,,,,,,acha kuota ndoto za kufakufa
 
mkuu kati ya ziba na igunga kuna mashimo hapo kuwa muangalifu
 
Mwanza to Dar, Kuna wastani wa Kilometers 1150.7 za barabara. Hivyo ili utumie masaa Saba kwa hiyo Safari inatakiwa uendeshe hiyo gari kwa average speed ya 164.39 kilometers/hour.

Odds aren't in your favor Boss, drive Safely.
 
Hata zile gari za Rais hazitumii masaa 7 pamoja na kuwa wanatembea bila kuzuiwa na wana escort.
Ford Ranger wild ina 200 ila huwezi enda hata km 10 na hiyo speed
 
nipo hapa Mwigumbi nasubiria kukuona utakapo pita vuuuu, na kupotea.


aleyo ngika ochimile ngenya, kolwake ukubye mbiti nyahala chene?
 
Unanikumbusha kuna jamaa yangu alijalibu iyo bwana bwana ha ha ha ha ha hakufika mbali akalivamia geti la polisi yale wanayawekaga nusu ya barabara nikacheka sana
 
Ukifa yule demu wako ws kigoma ntamrithi

Hatuwezi mwacha na upweke
 
mwanza to dar km 1250 ukiendesha speed 150 km per hour kwa masaa 8.30 unafika dar je ukiwasha gari unaweza kuendesha speed hiyo bila kupunguza kuna bump kuna kukojoa kuna kula kuna kona
 
1160km/7=165km/7...so itabidi utembee kwa wastani, haiwezekani maana ili kupata wastani wa speed hiyo kuna wakat itabidi ufike 180km/h..hicho kifooo
 
Itakuwa msukuma wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…