Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

Midomo ya watu inaumba mkuu,kama ni kweli utafika salama,basi mshukuru sana Mungu,na ili kufuta hayo maneno kabla hujaanza safari ingia kanisa lolote karibu na ulipo ili ufute hayo maneno kwa jina la Yesu...
 
Huyu bila Shaka atakuwa kaishiwa nauli,..
 
Hapo umepewa lift uko seat ya nyuma ata horn huwezi piga..
 
Ukisia ajali ya ford kwa kesho au leo usiku bas jua ni mimi mwana jf mwenzio beira boy from LONDON

LONDON BOY
Teh teh teh! Poa mkuu, uwe unatupia na screen short ya speed meter.
 
Kuna baharia anatokea rock city yupo na 2019 Bentley Bentayga, ukipata pancha atakupa msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…