Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Akikujibu muulize na IRP je?"Ranger ford "ni nini ?
Shh shhhhh usimuambie ni mimi.
Wanakuwaga na hasira sana hawa wa bangi za usiku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu muulize na IRP je?"Ranger ford "ni nini ?
Mkuu umepita hapa bahi check point nimekuonaAkikujibu muulize na IRP je?
Shh shhhhh usimuambie ni mimi.
Wanakuwaga na hasira sana hawa wa bangi za usiku.
Naanza kuitafuta dodoma sasa wakuu
Bye bye
Mkuu kwahyo masaa mawili upo dar sioMbona moderator uzi wangu wa update za kusafili mumeuleta jukwaa la garage
labda wameona unaongelea mambo ya kimakenikaModerator achen kunionea bhana huu uzi siyo wa magari ila ni uzi wa update ya safari yangu
Mkuu umepumzika au bado safari inaendawaonevu