Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Kama unatoa toa kwa upendo epuka kuwa na expectations or you will end up being disappointed .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran sana Swahiba, nimeupokea ushauri na nitaufanyia kazi
Nilikua na tabia kama yako ila nikaona watu wananitumia kwa faida yao.Ahsante sana kwa ushaur Swahiba.
kindness is for the weak, hii nimeikubari mkuuuMkuu wewe ni mtumwa wa kindness lakini kibaya zaidi wewe mfungwa wa matarajio ya dunia ya usawa.
Kindness is for the weak, tofauti labda umeanua kuisaidia dunia.
Matarajio ndio sumu yenyewe ya kukumaliza, kwa maana ndoto nyingi ni myth.
So fanya hivi:
Kuanzia leo ukae kwenye kioo, umwambie yule kwenye kioo kuwa kazi yake sio mgawa misaada kwa maana yeye mwenyewe anataka msaada.
Umuambie huyo kwenye kioo kuwa, alizaliwa mwenyewe na kufa atazikwa mwenyewe.
Then ukiingia mtaani, kuwa kauzu kwa chochote kile kinacho attempt kutest uzuri wako wa moyo.