Mkuu wewe ni mtumwa wa kindness lakini kibaya zaidi wewe mfungwa wa matarajio ya dunia ya usawa.
Kindness is for the weak, tofauti labda umeanua kuisaidia dunia.
Matarajio ndio sumu yenyewe ya kukumaliza, kwa maana ndoto nyingi ni myth.
So fanya hivi:
Kuanzia leo ukae kwenye kioo, umwambie yule kwenye kioo kuwa kazi yake sio mgawa misaada kwa maana yeye mwenyewe anataka msaada.
Umuambie huyo kwenye kioo kuwa, alizaliwa mwenyewe na kufa atazikwa mwenyewe.
Then ukiingia mtaani, kuwa kauzu kwa chochote kile kinacho attempt kutest uzuri wako wa moyo.