Nipeni mbinu za kumuacha huyu mrembo

Nipeni mbinu za kumuacha huyu mrembo

Wewe kila siku unakutana na pisi kali tu hakuna manung’aembe! Aidha ndugu yangu, kila siku mchuchu mpya au unapunyetolise tu
Wamekuwa wengi sana kwa idadi, kwa hiyo wanakuwa wanapambana sehemu ya kutulia
 
Hivi karibuni, nilikutana na mrembo mmoja ana asili ya kisomali, ila yeye ana mwili jumba.

Baada ya kurusha ndoano, mtoto akanasa, tukajikuta tupo kwenye mahusiano.

Siku ya kwanza nakutana naye sita kwa sita, ilikuwa ni shoo hatari; kiufupi nilikuwa sijawai kupewa baadhi ya sarakasi, ila pale nilinyoosha mikono juu.

Nikajua kila siku mambo yatakuwa hivyo (sarakasi za kutosha); siku zilivyozidi kusonga mbele zile sarakasi zikawa hazipo tena; akawa anajiweka tu ubavu au kifo cha mende, kazi inakuwa imeisha.

Nilivyomsoma kisaikolojia, ni kweli ananipenda na anajitahidi sana kunipigia pigia simu kila mara kuniuliza nipo wapi, nafanya nini n.k

Changamoto nyingine, anaweza akaja nyumbani muda wowote kwa kunishtukiza, ili aweze kupata fumanizi; nashukuru muumba sijawahi kukamatika.

Sasa, mimi nataka niachane naye; nataka nitumie mbinu ya kuwa namuomba hela ili aweze kunikimbia.

Sasa wakuu, hiyo itafanikiwa? Na kama haitafanikiwa nipeni mbinu nyingine mbadala.

Kwa sababu nimejaribu kuweka vikwazo vya kiuchumi, naona bado anavumilia tu, simpigii simu lakini bado yeye ananipigia.

Nisaidieni wakuu.​
Anakuja nyumbani wapi na ulisema umeoa na una mchepuko umezaa nae. Mkiwa waongo muwe mnasave google drive😂😂😂
 
Mazingira ya majukumu, mara nyingi yananifanya muda mwingi watu kuniona bachela
 
Hivi karibuni, nilikutana na mrembo mmoja ana asili ya kisomali, ila yeye ana mwili jumba.

Baada ya kurusha ndoano, mtoto akanasa, tukajikuta tupo kwenye mahusiano.

Siku ya kwanza nakutana naye sita kwa sita, ilikuwa ni shoo hatari; kiufupi nilikuwa sijawai kupewa baadhi ya sarakasi, ila pale nilinyoosha mikono juu.

Nikajua kila siku mambo yatakuwa hivyo (sarakasi za kutosha); siku zilivyozidi kusonga mbele zile sarakasi zikawa hazipo tena; akawa anajiweka tu ubavu au kifo cha mende, kazi inakuwa imeisha.

Nilivyomsoma kisaikolojia, ni kweli ananipenda na anajitahidi sana kunipigia pigia simu kila mara kuniuliza nipo wapi, nafanya nini n.k

Changamoto nyingine, anaweza akaja nyumbani muda wowote kwa kunishtukiza, ili aweze kupata fumanizi; nashukuru muumba sijawahi kukamatika.

Sasa, mimi nataka niachane naye; nataka nitumie mbinu ya kuwa namuomba hela ili aweze kunikimbia.

Sasa wakuu, hiyo itafanikiwa? Na kama haitafanikiwa nipeni mbinu nyingine mbadala.

Kwa sababu nimejaribu kuweka vikwazo vya kiuchumi, naona bado anavumilia tu, simpigii simu lakini bado yeye ananipigia.

Nisaidieni wakuu.​
Jitangaze kwamba unaliwa jicho na jamaa wa dpw
 
Back
Top Bottom