Uchaguzi 2020 Nipeni miaka mitano muone maajabu

Ni mwenye UFINYU wa akili tu ndiye anayeweza kudai katika Nchi yenye population ya 60 millions eti hakuna mbadala wa huyo anayejiita KICHAA.

Yawezekana yupo ila hajasimama kugombea
 
Ndiyo atapita akienda chato kupumzika baada ya kushindwa katika Uchaguzi.
Usifanye makosa Dada Oktoba 28 kura yako muhimu sana tukampumzishe Mzee wa Chato.
Mimi ni mpiga kelele tu humu, October nitakuwa nimepumzika nyumbani
Huo muda wa kwenda kupiga kura sidhani Kama nitaupata
 
Dogo r u okey? Hayo madhaifu ya kuua watu bado unajustfy haya?
Mimi nimeangalia upande wa mazuri yake mengi aliyoyafanya.
Hayo ya kuua watu Wala sijui,ninalojua dhaifu lake kubwa ni ajira kwa vijana.
Atakayeahidi kuajiri vijana ndiye nitakayempigia kura.
 
Wait a moment!! Ati unasema pamoja na yote hayo atafanyeje? Huyu madhaifu yamezidi analalamikiwa na kila mwenye akili timamu.
Ngoja tusubiri
Mimi nasubiri tu matokeo..hadi Sasa sijaona wa kuninyanyua kwenda kupiga kura
 
Kuua mtu kwako sio ishu kabisa ngoja nije kumuua mamaako halafu nikupe ajira
Wapi nineandika siyo ishu?
Unajua kusoma???
Huwezi kumpata Hata ukimpata atakufa kwa mapenzi ya Mungu
 
LIJIZI linatoka tulikabizi hazina kwa miaka 10, BIG NO.
CHIZI linaona raha kukabizi wa rungu, lituumize miaka 10...BIG NO.
 
Upumbavu na upuuzi mtupu. Kwani watu wa kimara walikuwa kwenye hifadhi ya barabara au hawakuwemo? Sheria iliyotumika ni ya 1932 au ni ya 2007? Nyongeza ya mshahara unazungumzia ipi? Annual increament au kima cha chini? Acha watulie mbona wao hawalalamiki kutumia vyama vyao? Wewe unawashwa nini kuwasemea?
Kama mikutano ilipigwa marufuku kinyume na sheria kwa nini hamkuenda mahakamani?
 
Ni kweli bado mimi ni mtoto na mwaka huu kama nikipiga kura basi itakuwa mara yangu ya Kwanza kupiga maana awamu iliyopita sikubahatika kupiga.

Inabidi unieleweshe Sasa ili nijue
Hujawahi sikia kuhusu Azory Gwanda?
Ben Saanane!
Na Kuna vifurushi vilikutwa kwenye mto ni watu wameuawa?
Ina maana hujui kbs mtu akiongea kitu against mkulu anapotezwa au kuteswa au kufunguliwa mashitaka? Umeisahau Lissu alikua anawtetea Sana Hawa watu? Uko mbeya ya wapi aisee...sema inaonekana una damu ya ccm .uwe na siku njema
 
Nimeingia humu Ben akiwa hayupo,
Azory simjui,
Kuhusu vifurushi sijui.
Nipo mbeya mjini hapahapa ila sijaishi sana uraiani..muda mwingi nilikuwa shule.

Mimi si mwanachama wa chama chochote
 
Ndugu, wewe ni mgeni hapa nchini?
 

hamchoki kuanzisha thread kila sku aisee, kushinda hamshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…