Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ngoja tusubiri tuone mkuuSisi ndo waajiri ameshindwa Deriver.mkataba wake unakoma October akajiajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tusubiri tuone mkuuSisi ndo waajiri ameshindwa Deriver.mkataba wake unakoma October akajiajiri
Yawezekana yupo ila hajasimama kugombeaNi mwenye UFINYU wa akili tu ndiye anayeweza kudai katika Nchi yenye population ya 60 millions eti hakuna mbadala wa huyo anayejiita KICHAA.
Mimi ni mpiga kelele tu humu, October nitakuwa nimepumzika nyumbaniNdiyo atapita akienda chato kupumzika baada ya kushindwa katika Uchaguzi.
Usifanye makosa Dada Oktoba 28 kura yako muhimu sana tukampumzishe Mzee wa Chato.
Inawezekana haijanisaidiaElimu yako nahisi haijausaidia kitu..of course unahaki ya kuongea haya coz bado uko kwenu!
Mimi nimeangalia upande wa mazuri yake mengi aliyoyafanya.Dogo r u okey? Hayo madhaifu ya kuua watu bado unajustfy haya?
Ngoja tusubiriWait a moment!! Ati unasema pamoja na yote hayo atafanyeje? Huyu madhaifu yamezidi analalamikiwa na kila mwenye akili timamu.
Kuua mtu kwako sio ishu kabisa ngoja nije kumuua mamaako halafu nikupe ajiraMimi nimeangalia upande wa mazuri yake mengi aliyoyafanya.
Hayo ya kuua watu Wala sijui,ninalojua dhaifu lake kubwa ni ajira kwa vijana.
Atakayeahidi kuajiri vijana ndiye nitakayempigia kura.
Wacha wee. .masuala ya uuaji wewe huyaelewi..safari ni ndefu sanaMimi nimeangalia upande wa mazuri yake mengi aliyoyafanya.
Hayo ya kuua watu Wala sijui,ninalojua dhaifu lake kubwa ni ajira kwa vijana.
Atakayeahidi kuajiri vijana ndiye nitakayempigia kura.
Ndiyo sijajuiWacha wee. .masuala ya uuaji wewe huyaelewi..safari ni ndefu sana
Wapi nineandika siyo ishu?Kuua mtu kwako sio ishu kabisa ngoja nije kumuua mamaako halafu nikupe ajira
We bado mtoto Sana ...kua uyaone!Ndiyo sijajui
Waweza nielewesha
Ni kweli bado mimi ni mtoto na mwaka huu kama nikipiga kura basi itakuwa mara yangu ya Kwanza kupiga maana awamu iliyopita sikubahatika kupiga.We bado mtoto Sana ...kua uyaone!
Upumbavu na upuuzi mtupu. Kwani watu wa kimara walikuwa kwenye hifadhi ya barabara au hawakuwemo? Sheria iliyotumika ni ya 1932 au ni ya 2007? Nyongeza ya mshahara unazungumzia ipi? Annual increament au kima cha chini? Acha watulie mbona wao hawalalamiki kutumia vyama vyao? Wewe unawashwa nini kuwasemea?Mwaka 2015 ulipewa miaka mitano na kwa kweli tumeona maajabu mengi.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu watumishi wa umma wakasota miaka mitano bila kupata nyongeza ya mshahara ambayo ni haki yao kisheria. Gharama za maisha zikapanda lakini kipato cha watumishi kikabaki kilekile. MAAJABU.
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia wahitimu wa kada muhimu kama udaktari na ualimu wakisota mtaani bila ajira lakini hospitali hazina madaktari na shule hazina waalimu. MAAJABU.
Tukashuhudia watu wa Kimara wakivunjiwa nyumba bila kulipwa fidia kwa kutumia sheria ya kikoloni ya mwaka 1932. Wakaenda mahakamani, na mahakama ikaweka zuio, lakini amri ya mahakama ikapuzwa na nyumba zikavunjwa. MAAJABU.
Tukashuhudia bunge likifanyiwa "shooting" kama bongo movie. Hotuba za wabunge zinakua censored kwanza. Walioongea maneno makali wanakatwa, walioipamba serikali wanaenda hewani. Bunge likapoteza focus na kuanza kuipongeza serikali wakati kazi ya bunge ni kuisimamia serikali. MAAJABU.
Tukashuhudia RC akivamia studio na mitutu ya bunduki kulazimisha "clip yake ya umbea" irushwe hewani. Chombo husika kikaamua kuzingatia maadili na kukataa kurusha clip hiyo. Waandishi wakavamiwa na kutishwa. Waziri aliyeunda Kamati ya kuchunguza suala hilo akafurushwa. MAAJABU.
Kwa mara ya kwanza mifuko ya hifadhi ya jamii ikafuta fao la kujitoa. Watumishi wa mikataba na wa muda mfupi wakaambiwa hadi miaka 60. Mtu mwenye akiba ya 5M na kwa sasa ana maika 25 unamwambia hadi afikishe miaka 60? Yani miaka 35 ijayo? Akifikisha miaka 60 hiyo 5M si itakua ya kununulia mkate tu? MAAJABU.
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia Hakimu aliyekua kwenye likizo ya kustaafu akiteuliwa kuwa Jaji wa mahakama kuu. MAAJABU.
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia mbunge akipigwa risasi kwenye makazi yenye CCTV camera. Lissu akasema camera ziliondolewa baada ya tukio. Hakuna mshukiwa hata mmoja aliyekamatwa hadi sasa. MAAJABU.
Tukashuhudia mikutano ya siasa ikipigwa marufuku kinyume na katiba na sheria za nchi. Viongozi wa upinzani walipofanya vikao vya ndani walikamatwa lakini CCM walifanya mikutano ya hadhara na vikao bila bughudha. MAAJABU.
Binafsi naona maajabu yametosha baba. Hatutaki maajabu mengine.!
Malisa GJ
Hujawahi sikia kuhusu Azory Gwanda?Ni kweli bado mimi ni mtoto na mwaka huu kama nikipiga kura basi itakuwa mara yangu ya Kwanza kupiga maana awamu iliyopita sikubahatika kupiga.
Inabidi unieleweshe Sasa ili nijue
Nimeingia humu Ben akiwa hayupo,Hujawahi sikia kuhusu Azory Gwanda?
Ben Saanane!
Na Kuna vifurushi vilikutwa kwenye mto ni watu wameuawa?
Ina maana hujui kbs mtu akiongea kitu against mkulu anapotezwa au kuteswa au kufunguliwa mashitaka? Umeisahau Lissu alikua anawtetea Sana Hawa watu? Uko mbeya ya wapi aisee...sema inaonekana una damu ya ccm .uwe na siku njema
Ndugu, wewe ni mgeni hapa nchini?Upumbavu na upuuzi mtupu. Kwani watu wa kimara walikuwa kwenye hifadhi ya barabara au hawakuwemo? Sheria iliyotumika ni ya 1932 au ni ya 2007? Nyongeza ya mshahara unazungumzia ipi? Annual increament au kima cha chini? Acha watulie mbona wao hawalalamiki kutumia vyama vyao? Wewe unawashwa nini kuwasemea?
Kama mikutano ilipigwa marufuku kinyume na sheria kwa nini hamkuenda mahakamani?
Jibu maswali niliyouliza.Ndugu, wewe ni mgeni hapa nchini?
Mwaka 2015 ulipewa miaka mitano na kwa kweli tumeona maajabu mengi.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu watumishi wa umma wakasota miaka mitano bila kupata nyongeza ya mshahara ambayo ni haki yao kisheria. Gharama za maisha zikapanda lakini kipato cha watumishi kikabaki kilekile. MAAJABU.
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia wahitimu wa kada muhimu kama udaktari na ualimu wakisota mtaani bila ajira lakini hospitali hazina madaktari na shule hazina waalimu. MAAJABU.
Tukashuhudia watu wa Kimara wakivunjiwa nyumba bila kulipwa fidia kwa kutumia sheria ya kikoloni ya mwaka 1932. Wakaenda mahakamani, na mahakama ikaweka zuio, lakini amri ya mahakama ikapuzwa na nyumba zikavunjwa. MAAJABU.
Tukashuhudia bunge likifanyiwa "shooting" kama bongo movie. Hotuba za wabunge zinakua censored kwanza. Walioongea maneno makali wanakatwa, walioipamba serikali wanaenda hewani. Bunge likapoteza focus na kuanza kuipongeza serikali wakati kazi ya bunge ni kuisimamia serikali. MAAJABU.
Tukashuhudia RC akivamia studio na mitutu ya bunduki kulazimisha "clip yake ya umbea" irushwe hewani. Chombo husika kikaamua kuzingatia maadili na kukataa kurusha clip hiyo. Waandishi wakavamiwa na kutishwa. Waziri aliyeunda Kamati ya kuchunguza suala hilo akafurushwa. MAAJABU.
Kwa mara ya kwanza mifuko ya hifadhi ya jamii ikafuta fao la kujitoa. Watumishi wa mikataba na wa muda mfupi wakaambiwa hadi miaka 60. Mtu mwenye akiba ya 5M na kwa sasa ana maika 25 unamwambia hadi afikishe miaka 60? Yani miaka 35 ijayo? Akifikisha miaka 60 hiyo 5M si itakua ya kununulia mkate tu? MAAJABU.
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia Hakimu aliyekua kwenye likizo ya kustaafu akiteuliwa kuwa Jaji wa mahakama kuu. MAAJABU.
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia mbunge akipigwa risasi kwenye makazi yenye CCTV camera. Lissu akasema camera ziliondolewa baada ya tukio. Hakuna mshukiwa hata mmoja aliyekamatwa hadi sasa. MAAJABU.
Tukashuhudia mikutano ya siasa ikipigwa marufuku kinyume na katiba na sheria za nchi. Viongozi wa upinzani walipofanya vikao vya ndani walikamatwa lakini CCM walifanya mikutano ya hadhara na vikao bila bughudha. MAAJABU.
Binafsi naona maajabu yametosha baba. Hatutaki maajabu mengine.!
Malisa GJ
Mimi ni mpiga kelele tu humu, October nitakuwa nimepumzika nyumbani
Huo muda wa kwenda kupiga kura sidhani Kama nitaupata