Uchaguzi 2020 Nipeni miaka mitano muone maajabu

Tumpe mingine ili awashugulikie wale wote walio mpinga na waliokusanyika kwenye mikutano ya wapinzani,pia apindue katiba ajiongeze miaka mingine ya utawala.
Nafikiri akishinda kwa haki kabisa basi Wapinzani inabidi wakae kimya kabisa mpaka 2025 mana watanzani wanategemea miujiza na wameridhika na hali watakayokutana nayo kiroho safi.
 
S
Jana mlisema Dodoma hakuna nyomi, leo
Mnaifufua ile corona mliyo izika! Mmeshikwa kunako ubaya, mtaweweseka sana!
Sisi tuliiizikaa, na nyie mliungana na sisi kuizikaaa??
Na zile kiki zenu za kuwa tumia mabeberu zilienda wapiii??
Kubalini tuuuu mkomnatembelea matunda ya jemadari magufuliii.
Kiki zenu zote zinabumaaaaa
 
IMG-20200905-WA0028.jpg
IMG-20200905-WA0028.jpg
 
Mwaka 2015 ulipewa miaka mitano na kwa kweli tumeona maajabu mengi.

Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu watumishi wa umma wakasota miaka mitano bila kupata nyongeza ya mshahara ambayo ni haki yao kisheria. Gharama za maisha zikapanda lakini kipato cha watumishi kikabaki kilekile. MAAJABU.

Kwa mara ya kwanza tukashuhudia wahitimu wa kada muhimu kama udaktari na ualimu wakisota mtaani bila ajira lakini hospitali hazina madaktari na shule hazina waalimu. MAAJABU.

Tukashuhudia watu wa Kimara wakivunjiwa nyumba bila kulipwa fidia kwa kutumia sheria ya kikoloni ya mwaka 1932. Wakaenda mahakamani, na mahakama ikaweka zuio, lakini amri ya mahakama ikapuzwa na nyumba zikavunjwa. MAAJABU.

Tukashuhudia bunge likifanyiwa "shooting" kama bongo movie. Hotuba za wabunge zinakua censored kwanza. Walioongea maneno makali wanakatwa, walioipamba serikali wanaenda hewani. Bunge likapoteza focus na kuanza kuipongeza serikali wakati kazi ya bunge ni kuisimamia serikali. MAAJABU.

Tukashuhudia RC akivamia studio na mitutu ya bunduki kulazimisha "clip yake ya umbea" irushwe hewani. Chombo husika kikaamua kuzingatia maadili na kukataa kurusha clip hiyo. Waandishi wakavamiwa na kutishwa. Waziri aliyeunda Kamati ya kuchunguza suala hilo akafurushwa. MAAJABU.

Kwa mara ya kwanza mifuko ya hifadhi ya jamii ikafuta fao la kujitoa. Watumishi wa mikataba na wa muda mfupi wakaambiwa hadi miaka 60. Mtu mwenye akiba ya 5M na kwa sasa ana maika 25 unamwambia hadi afikishe miaka 60? Yani miaka 35 ijayo? Akifikisha miaka 60 hiyo 5M si itakua ya kununulia mkate tu? MAAJABU.

Kwa mara ya kwanza tukashuhudia Hakimu aliyekua kwenye likizo ya kustaafu akiteuliwa kuwa Jaji wa mahakama kuu. MAAJABU.

Kwa mara ya kwanza tukashuhudia mbunge akipigwa risasi kwenye makazi yenye CCTV camera. Lissu akasema camera ziliondolewa baada ya tukio. Hakuna mshukiwa hata mmoja aliyekamatwa hadi sasa. MAAJABU.

Tukashuhudia mikutano ya siasa ikipigwa marufuku kinyume na katiba na sheria za nchi. Viongozi wa upinzani walipofanya vikao vya ndani walikamatwa lakini CCM walifanya mikutano ya hadhara na vikao bila bughudha. MAAJABU.

Binafsi naona maajabu yametosha baba. Hatutaki maajabu mengine.!

Malisa GJ

😁😁 Hivi ni clip gani yule msela alitaka irushwe
 
Nyie chadema mna bangi kweli. Hivi utawaongezea mishahara wafanyakazi alafu serikali iache kuwekeza kwenye miradi Ambayo itakuja kuwa mkombozi kwa wananchi WOTE?

Hivi kupi ni bora kuwekeza kutakapo kuja kukupatia kipato kitakacho kuwezesha kujikimu na kuhudumia familia yako vizuri.

Au Bora kula kipato chote unachokipata pasipo kuwe keza?

Unaposema serikali haija Ajiri watumishi katika sekta je! Ni Vyema kuajiri lundo la wafanyakazi Ambao hutaweza kuwalipa vizuri?

Chadema WOTE Akili zao ni Ndogo sana Mna zani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza kijiwe cha kahawa.

Nyinyi ni vipofu na hamjui Impact ya Serikali ya Awamu ya 5 kwa Kazi kubwa iliyofanya Mtakuja kuona Hapo Baadae wakati mmeshapata Akili.
Sasa kiongozi naomba kuuliza,ina maana walioweka sheria ya kuongezeka mishahara na kupanda madaraja,walikua hawajui umuhimu wa miradi ya Maendeleo?
 
Ni mwenye UFINYU wa akili tu ndiye anayeweza kudai katika Nchi yenye population ya 60 millions eti hakuna mbadala wa huyo anayejiita KICHAA.

[emoji122][emoji122][emoji122]
Mimi bado sijaona mbadala wa JPM.
Wiki iliyopita jmosi nilikuwepo pale jamhuri Dodoma kumsikiliza JPM,
Leo nimeenda viwanja vya CCM Mbeya kumsikiliza Lisu.
Naona Lisu bado Sana
 
Tukirudia tena kosa safari hii tumekwisha,tutamswalia mtume atalipiza kisasi.zipo reason mbili why mitano inamtosha.
Kwanza akipita atatutesa sana watz safari tutalimia kucha,uchumi kufa kabisa,kubambikwa kesi,wafanyakazi kuendelea kukomolewa sababu atohitaji tena kura zetu.
Pili atang'ang'ania madaraka atotoka tena atabadili katiba kwa kisingizio cha kukamilisha miradi anaweza pia kila panapokaribia uchaguzi uanzisha mradi mwingine mkubwa labda kiwanda cha cement atoki hadi kikamilike.
Nafasi pekee ni October nje ya hapo tukubali kuumia.
 
Kesho Fiesta Mwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanakuja kuona show sio sera
IMG_20200905_220321_684.JPG
 
S
Sisi tuliiizikaa, na nyie mliungana na sisi kuizikaaa??
Na zile kiki zenu za kuwa tumia mabeberu zilienda wapiii??
Kubalini tuuuu mkomnatembelea matunda ya jemadari magufuliii.
Kiki zenu zote zinabumaaaaa
Kamanda huyo ndo aliye ondoa corona?!
 
Back
Top Bottom