Uchaguzi 2020 Nipeni miaka mitano muone maajabu

Uchaguzi 2020 Nipeni miaka mitano muone maajabu

raisi wangu naomba uangalie haya ktk awamu yako ya miaka 5;
Ukanda na ukabila umekuwa mkubwa sana.
Miradi ya maendeleo imekuwa pia na 'uelekeo' huohuo
Hakuna uhuri wa vyombo vya habari na demokrasia
Mihimili mingine iheshimiwe na ifanye kazi kwa mujibu wa katiba.
Budget ziheshimiwe kama zilivyopitishwa na wabunge.
Kuwepo na ukweli na uwazi kama awamu zilizotangulia.
Usawa kwa wote bila ubaguzi, tusiwe taifa la visasi.
nawasilisha.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mwaka 2015 ulipewa miaka mitano na kwa kweli tumeona maajabu mengi.

Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu watumishi wa umma wakasota miaka mitano bila kupata nyongeza ya mshahara ambayo ni haki yao kisheria. Gharama za maisha zikapanda lakini kipato cha watumishi kikabaki kilekile. MAAJABU.

Kwa mara ya kwanza tukashuhudia wahitimu wa kada muhimu kama udaktari na ualimu wakisota mtaani bila ajira lakini hospitali hazina madaktari na shule hazina waalimu. MAAJABU.

Tukashuhudia watu wa Kimara wakivunjiwa nyumba bila kulipwa fidia kwa kutumia sheria ya kikoloni ya mwaka 1932. Wakaenda mahakamani, na mahakama ikaweka zuio, lakini amri ya mahakama ikapuzwa na nyumba zikavunjwa. MAAJABU.

Tukashuhudia bunge likifanyiwa "shooting" kama bongo movie. Hotuba za wabunge zinakua censored kwanza. Walioongea maneno makali wanakatwa, walioipamba serikali wanaenda hewani. Bunge likapoteza focus na kuanza kuipongeza serikali wakati kazi ya bunge ni kuisimamia serikali. MAAJABU.

Tukashuhudia RC akivamia studio na mitutu ya bunduki kulazimisha "clip yake ya umbea" irushwe hewani. Chombo husika kikaamua kuzingatia maadili na kukataa kurusha clip hiyo. Waandishi wakavamiwa na kutishwa. Waziri aliyeunda Kamati ya kuchunguza suala hilo akafurushwa. MAAJABU.

Kwa mara ya kwanza mifuko ya hifadhi ya jamii ikafuta fao la kujitoa. Watumishi wa mikataba na wa muda mfupi wakaambiwa hadi miaka 60. Mtu mwenye akiba ya 5M na kwa sasa ana maika 25 unamwambia hadi afikishe miaka 60? Yani miaka 35 ijayo? Akifikisha miaka 60 hiyo 5M si itakua ya kununulia mkate tu? MAAJABU.

Kwa mara ya kwanza tukashuhudia Hakimu aliyekua kwenye likizo ya kustaafu akiteuliwa kuwa Jaji wa mahakama kuu. MAAJABU.

Kwa mara ya kwanza tukashuhudia mbunge akipigwa risasi kwenye makazi yenye CCTV camera. Lissu akasema camera ziliondolewa baada ya tukio. Hakuna mshukiwa hata mmoja aliyekamatwa hadi sasa. MAAJABU.

Tukashuhudia mikutano ya siasa ikipigwa marufuku kinyume na katiba na sheria za nchi. Viongozi wa upinzani walipofanya vikao vya ndani walikamatwa lakini CCM walifanya mikutano ya hadhara na vikao bila bughudha. MAAJABU.

Binafsi naona maajabu yametosha baba. Hatutaki maajabu mengine.!

Malisa GJ
Ndio maana tutachagua "saccos" au chama cha kijamii aka chama cha " familia"
 
Kuifanya Tanzania iwe km chato au kuajiri watz km alivowaajiri watoto wa dada?
 
Nitawapigia endapo kipaumbele Chao kitauwa sera thabiti na kupunguza malalamiko

Pata muda ingia kwenye website ya Chadema, soma Ilani yetu ya Uchaguzi kisha fanya maamuzi sahihi. Pia usiache kuhudhuria mikutano eneo unapoishi kusikiliza Sera zetu .

Kura yako muhimu sana Dada , anzia kwa Raisi mtarajiwa,Mbunge na Diwani kupitia Chama Cha Chadema.
 
Mbunge Mhe.Sugu tayari ana kura yangu ila hao wengine ngoja labda niendelee kuwasikiliza
 
Mbunge Mhe.Sugu tayari ana kura yangu ila hao wengine ngoja labda niendelee kuwasikiliza
Poa Dada tunza vizuri shahada yako, usifanye makosa Oktoba 28 kura zote kwa Chadema itakaa poa sana .
Fanya maamuzi muda ndiyo huu na uzuri huko ulipo amsha amsha iliyopo unaiona kila la heri,Ubarikiwe sana kwa maamuzi sahihi.
 
Mimi nachagua mtu,sichagui chama.
Sera zenu zikinivutia nitawapa kura
 
Asante...

Hatutakuja kupata kiongozi Mungu.

Ila wapinzani waache wapnge maana kupinga ndiyo uhai wao. Waendelee tu.

Kipindi cha Mkapa walilalamika Rais dikteta hafai kututawala.

Akaja JK tukamsema huyu kageuza nchu shamba la bibi. Tu/wakatamani kiongozi mwenye mamlaka. Anayeweza kunguruma kidogo.

Akaja JPM...malalamiko hayajaisha. Rais ni mtu sio Mungu. Lazima wawepo wa kuumizwa na wa kufurahishwa na maamuzi anayotoa.
Naunga mkono hoja, 5yrs kwa Magu.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
Mimi bado sijaona mbadala wa JPM.
Wiki iliyopita jmosi nilikuwepo pale jamhuri Dodoma kumsikiliza JPM,
Leo nimeenda viwanja vya CCM Mbeya kumsikiliza Lisu.
Naona Lisu bado Sana
Mitano tena kwa JPM, asante Mtakatifu Anne.
 
Yes I do care about my fellow citizens when they are mistreated by their own government because someone thinks that he is above the law.

MPUMBAVU wewe hujui lolote zaidi ya kuonyesha UJUHA wako hadharani. Hivyo vyama vya Wafanyakazi vya kuwatetea wafanyakazi ni vipi? Hivyo vinavyotishwa kila siku na huyo anayejiita KICHAA?

Kuna mahakama Nchi hii? Hizo mahakama UCHWARA zinazopokea maagizo toka mamlaka za juu AKA huyo anayejiita KICHAA?

Usidhani kwa vile Babaaako na mamaako wanawashwa basi kila mtu anawashwa ZWAZWA wewe!

Upumbavu na upuuzi mtupu. Kwani watu wa kimara walikuwa kwenye hifadhi ya barabara au hawakuwemo? Sheria iliyotumika ni ya 1932 au ni ya 2007? Nyongeza ya mshahara unazungumzia ipi? Annual increament au kima cha chini? Acha watulie mbona wao hawalalamiki kutumia vyama vyao? Wewe unawashwa nini kuwasemea?
Kama mikutano ilipigwa marufuku kinyume na sheria kwa nini hamkuenda mahakamani?
 
Yes I do care about my fellow citizens when they are mistreated by their own government because someone thinks that he is above the law.

MPUMBAVU wewe hujui lolote zaidi ya kuonyesha UJUHA wako hadharani. Hivyo vyama vya Wafanyakazi vya kuwatetea wafanyakazi ni vipi? Hivyo vinavyotishwa kila siku na huyo anayejiita KICHAA?

Kuna mahakama Nchi hii? Hizo mahakama UCHWARA zinazopokea maagizo toka mamlaka za juu AKA huyo anayejiita KICHAA?

Usidhani kwa vile Babaaako na mamaako wanawashwa basi kila mtu anawashwa ZWAZWA wewe!
Dalili zote za maneno uyliyotoa inaoyesha wewe ni shoga ambae unatoa tigo kama mwendo kasi.
 
😂😂😂😂😂 baada ya kushindwa kujenga hoja sasa umeishia kuonyesha UJUHA wako hadharani.

Usidhani Babaaako kwa vile kakufundisha wewe hiyo kazi ya UDUNYA kujiuza ili muweze kuishi mjini basi kila mtu anafanya huo UPUUZI. Kunywa glass ya maji barrrrrridi halafu utulizane ZWAZWA.

Dalili zote za maneno uyliyotoa inaoyesha wewe ni shoga ambae unatoa tigo kama mwendo kasi.
 
Back
Top Bottom