Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Link wapi nizame nianze chap
 
Vya picha, annotation, na mengne mkuu.
Nimekusoma.

Hivi vya picha kuna mkuu alisema ni vya kumove, uwe unamove from place to another, kama unamaanisha hivyo, havinifai kwasababu nakaa dukani saa zote.

Hivyo vingine kama annotation n.k, nahisi siyo vya kumove, vitanifaa mimi mtu wa kukaa sehemu moja
 
Yah sometimes picha unapiga vifaa vilivyo ndani kama furniture au wanyama au selfie za wanafamilia.

Pia kuna bavl.excode nao wanakuwaga na project za kutrain chat bots so wanakupa topic unaiandikia mazungumzo ya kama watu wanajbizana wanalipa kwa kila sentence.
 
Hiyo ya bavl.excode ya chat bots si IT?, imekaa ki-IT
 
Investment ni muhimu kwenye kila kitu, hata kama sio Pesa ni either:-
  • Skills
  • Promotion
  • Time na hapa time ninamaanisha sio tu muda wa kukaa na kufanya bali ni muda wa kuongeza wateja / brand yako, kama una content kupata repeat visitors inachukua muda...

Wakati offline tunaongelea Location; Online tunaongelea Content na utapeli ulivyo mwingi Online it takes time to cultivate and keep customers..., Bila kusahau competition is also stiff (barrier of entry online imekuwa ndogo sana)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…