Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
Kwanza pole,..hata kwa hili mimi bado nafikiri nistory uliyoipika_maake sidhani ama sifikirii kama inawezekana kwa mtu mwenye akili timamu kufanya hivyo,....mimi kama mbaba sina mchango kwa hili zaidi ya kudhani ni kastory ka kijiweni,...pole sana da canta
Ndugu yangu Igwe,katika hili naomba usiwe doubting Thomaso.Hizi kesi hapa Dar ni common sana tena sana.Kila kukicha watu wanafunguliwa mashtaka kwa tendo kama hili kwenye dala dala na wengine anapewa kajukuu akakumbatie basi kakinyanyuka kameloa mgongoni,mahakamani linaitwa 'shambulio la aibu',hukumu yake ni mvua 30!Wanaofanya haya kwa kiswahili wanasemwa wamepata 'mhemuko',very common incidents in Dar though sad.