Nipeni pole,wakaka/wababa nisaidien kujua 7bu ya baadhi yenu kufikia kufanya upuuzi

Nipeni pole,wakaka/wababa nisaidien kujua 7bu ya baadhi yenu kufikia kufanya upuuzi

Duh! Pole sana dada! Huyo bwana inaonekana ana pepo la ngono na litampelekesha sana asipopata msaada wa maombi! Yaan kwenye daladala tena anaelekea ofisini! It s really hard to believe this!
Nakumbuka waimbaji fulani hivi waliimba kuwa dhambi ni mzigo na ni heri mzigo wa mabegani kuliko wa moyoni!

God forbid!
Asante sunshine,kwa hali ya kawaida ni ngumu but watu wameshuhudia ni vitendo vinafanyika,mzigo wa moyon ni mbaya kwan hakuna anayeujua zaidi yako na watu watakushangaa kwa matendo yako ya ajabu tu!
 
Pole sana Canta hizi issue zipo sana tu tena kwenye hii njia ya kilwa road magari ya mbagala ndio karibu kila siku nyakati nyingize hawazungu wanatoka mtu anashtukia amelowa miuji yao inakera sana, pole sana dear hao wasio amini waache hivyo hivyo iko siku wataamini tu.
Asante BornTown,siku yakiwafika au yakiwafika watu wa karibu yao wataamini tu!
 
Kwanza pole,..hata kwa hili mimi bado nafikiri nistory uliyoipika_maake sidhani ama sifikirii kama inawezekana kwa mtu mwenye akili timamu kufanya hivyo,....mimi kama mbaba sina mchango kwa hili zaidi ya kudhani ni kastory ka kijiweni,...pole sana da canta

Ndugu yangu haya mambo yapo, mimi mwenyewe nilishuhudia nikiwa nimekaa kwenye siti kwenye daladala la kutoka Buguruni kwenda Mwenge, jamaa alikuw amesimama karibu na dada mmoja, aliyekuwa amevaa suruali wenyewe wanaita skin jeans. nikiwa nimekaa nilimuona jamaa katoa uume wake na kuanza kuusugua kwenye makalio ya yule dada. niliona kama vile naota, lakini jamaA wala hakuonekana kustuka kama kuna mtu anaona.........ghafla yule dada akastuka na kupiga kelele, watu walianza kumzonga yule jamaa na kutaka kumpiga, lakini nikamuokoa na kumuomba dereva aingie kituo cha Polisi pale tabata Relini AMI tukamuacha pale..........lilikuwa ni gumzo ndani ya daladala, na yule dadaasivyo na haya alikuwa anasimuliea lile tukio kama lilivyo bila hata kutumia tafsida..............

Hata ukienda ferry matukIo ya aina hiyo yapo, na vijana wenye mchezo huo wanajulikana kwa jina la DUNGA DUNGA...............
 
haya mambo yana kela sana jamani hasa ukisimama kwenye dada dala harafu mmeshonana daaaaa sitaki kumbuka ila pole sana
 
pole sana Cantalisia
umenikumbusha siku za nyuma katika basi la mwenge-mbagala kuna janaume lilimaliza haja yake katika mbanano wa watu wengi na dada alikuja shtuka mbele ya magomeni wakati jamaa limeshuka pale morroco. ni pale alikuwa ananyosha sketi yake baada ya kupisha abiria washuke kituo cha mbele maana walikuwa wengi zaidi so akapata nafasi yakupitisha mkono kwa nyuma, alishokutana nacho ilikuwa ni fedheha ya hali ya juu
 
Nyinyi wadada mmezidi, last week gari yangu ilikuwa garage, nilipata tabu sana na daladala, tumebanana tu Gongo la mboto, mdada amekaa mbele yangu, amevaa nguo ya mlenda mlenda na ametega ****** yake na anajitahidi aweke ududu wangu pale kwenye mfereji wake, anatingishika all the time, nikamshauri ageukie kwangu tutazamane ili asinikewaze akagoma. Kweli alichezesha na kwa kuwa sina aibu nikapiga simu kwa mke wangu nakutamka "Nipo buguruni hapa lakini hizi daladala zinaweza tudhalilisha, naweza nikarudi na hali mbaya huko" basi lile lijimama likastop ile vibration, gari nzima walicheka ila msukule ulianza kuchangamka kabisa maana kila mtu na mapungufu yake.

Mwengine akiona tuu sperm njenje sasa wewe kwenye kwapa inamaana ulliwekaje hizo kwapa hapo ninamashaka.
ila kwakuwa unataka sababu basi sababu ni hizi hapa
1. ugwadu
2. Ugonjwa wa kuzaliwa nao
3. kwa kukuwa ukisimama muda mrefu all body energy zinakusanyika huku chini na ukiguswa tuu basi charge zinaanza
4. Maumbile ya mwanaume ni tofauti na mwanamke
5. ukizoea kupiga bao kwenye disco basi kwenye daladala unapiga tuu.

nyingine ni nyingi
 
Uungwana umepungua ndugu! Siwez kusahau nlipokuwa o'level siku moja kwenye daladala nilikaa kale kasit ka wanafnz nikapishanisha miguu na mama m1 aliyekaa sit 2likuwa nnaangalia naye, alkuwa kama wa miaka 27-35 amevalia sket fupi, mara akawa ananibana na kuniachia, nikimwangalia anajifanya anachezea simu! Taratibu akaanza kutembeza kidole cha mguu kwangu, khaaa! Akaniangalia alafu akatabasam, thn akanilalia miguu yangu 2liyokuwa nimepisha nae, niliccmka kwan matiti yake makubwa aliyalaza mapajan mwangu! Duuu, nlishuka ki2o kimoja kabla kwan dada yule alizidisha ujinga wake. Pole we mdada ila nadhan kuna tatizo labda wataalam watusaidie.
 
Pole mwaya, haya mambo yanakera asikwambie mtu! Mi mwenyewe niliwahi nusurika na hii kitu, tulikuwa tumesimama kwenye daladala na nyuma yangu alikuwepo huyo mbaba alotaka kunifanyia huo ubazazi. Yaani ka bahati ikatokea nikageuka, my dear nilibaki kuduwaa........!!

dah pole sana cantalisia uwe unatembea hata na kiwembe ungemtoa hata sikio akome

yeah, ni kweli haya mambo yapo saaana, na yanatokea kila siku, katika daladala zetu. Mbona tunayashuhudia, anayekataa anataka tuu kuendeleza mjadala, Ila pole sana Cantalisia, coz huyo naona alifika mbaali hadi kufungua zip, shame on them kwa kweli

pole mdada, tuwafundishe watoto wetu wa kike kupiga kelele mara wanapokutwa na masaibu kama haya.

jitafutie kagari kako mwaya tuone atakukuta wapi.

pole dear...........inatia aibu kweli mijanaume mingine bana.....au katumwa na mganga wa kienyeji

Hili ni common sana. Nimeshaona mwanamke akishuka kwenye dala dala mtu akamwambia alikuwa amekalia makohozi, akasema mbona nilikuwa sijakaa kabisa nilikuwa nimesimama. Akaambiwa jiangalie kwenye makalio! ...... alichokiona!!

Haya mambo yanatokea kila siku kwenye dala dala. Yaani ni kila siku. Nimeshaona zaidi ya mara tatu mtu akikurupushwa! Kuna kesi ilishawahi kutokea miaka ya nyuma kidogo kwenye foleni, sujui ilikuwa benki, tena huyo mwanaume alikuwa Daktari wa Mifugo ..... Wataalam waliita mfadhaiko.

Ila inaonekana ni hali (mfadhaiko) inawapata wanume wengi wanapokuwa kwenye mgusano wa kimwili (physical contact) na wanawake kwa muda mrefu. Wengine huamua kujichafua wenyewe ndani ya masuruali yao, wengine huuchomoa kabisa!!! Ila kunakuwa na matatizo ya kisaikolojia, ndo maana wataalam wa akili wanasema binadamu wote ni vichaa ..... tunatofautiana viwango tu!

Ila jambo moja lililo wazi, kuna wanawake wanajisahau mno, yaani hajijali. Mwili wa mwanamke unatakiwa usitiriwe vizuri kuepuka mambo kama haya. Kwenye madaladala kuna wanawake wengine unakuta almost kakumbatiwa kabisa na mtu ambaye hata hamfaham ila yeye unakuta tu katulia na wala hajali. Wanawake wengine unakuta amemsukumia kifua mwanaume kwa muda mrefu wala hajali. Hili ni tatizo, mguso wa kifua cha mwanamke ukiwa mrefu sana kwa mwanaume, hata kama hakuwa na wazo, MFADHAIKO HUWEZA KUTOKEA. Wanawake wengine wanafanya maksudi kabisa kwa nia ya kumuumbua mwanaume. Kwenye dala dala kuna vituko, we acha tu. Ukisimuliwa matukio yaliyotokea kwa siku moja tu huna hamu.

kwa ujumla mwanamke inatakiwa ajiepushe kabisa na mgusano wowote na mwanaume; hasa ikiwa mgusano huo unachukua muda mrefu!! Hata mkikaa kwenye kiti kimoja, si lazima msuguane mabega (hasa kama mwanamke amevaa nguo inayoyaacha wazi)!!

Wanawake wengine hawataki hata kutumia magari ya binafsi kwani wanafurahia wanapobambwa bambwa kwenye misongamano ya kwenye madala dala - atalalamika tu akiibiwa cheni yake, ila mengine poa tu. Haya ni matatizo yaliyopo kwenye jamii, hadi yanapokukumba ndo unastuka; ila yapo kwa sana tu!!

Nashukuru sana mkuu (kipimaPembe), maana nimeperuzi sana nakutana na lawama tu kwa huyu jamaa. At least wewe umeonyesha benefit of doubt...

Binafsi namtetea kwa asilimia 80. Namlaumu kwa asilimia 20...

Na wewe Cantalasa nakulaumu kwa asilimia 75, maana ungekuwa na busara usingeruka kumchapa kibao baba wa watu...
 
Zamani walikuwa wanaziita kesi za watu wenye Mfadhaiko.. Watu walikuwa wanafungwa zaidi ya miaka saba...

Sasa wadada wengine wakaanzisha uzushi wa kusingizia watu kesi zikawa nyingi ila zikaishia kimya kimya wadada wengi waliogopa kutoa repoti kwani ziligeuzwa kesi za vyombo vya habari ikawa ni aibu kwao nadhani zama zinaweza anza kujirudia
 
we ulikosea, kimya kimya ungelivuta kwa NGUVU mpaka apige ukunga. Yaani ungelivuuuta, nna maaana ungelivuuuuuuta mpaka apige yowe.
Nakweli nigepata akili hiyo pale pale ingekuwa bora,but kulingana natukio lenyewe lilinichanganya hata sikujua cha kufanya kwa wakati ule kwan nilipata mshangao wa mwaka!
 
pole sana Cantalisia
umenikumbusha siku za nyuma katika basi la mwenge-mbagala kuna janaume lilimaliza haja yake katika mbanano wa watu wengi na dada alikuja shtuka mbele ya magomeni wakati jamaa limeshuka pale morroco. ni pale alikuwa ananyosha sketi yake baada ya kupisha abiria washuke kituo cha mbele maana walikuwa wengi zaidi so akapata nafasi yakupitisha mkono kwa nyuma, alishokutana nacho ilikuwa ni fedheha ya hali ya juu
Asante Felixonfellix,yani inakera isikie tu kwa mtu,yani mpaka sasa nikipanda daladala nikiona aliepemben yangu ni mwanaume sina iman naye namkazia macho mda wote, maisha gani haya wanatusababishia hawa dunga!
 
Nyinyi wadada mmezidi, last week gari yangu ilikuwa garage, nilipata tabu sana na daladala, tumebanana tu Gongo la mboto, mdada amekaa mbele yangu, amevaa nguo ya mlenda mlenda na ametega ****** yake na anajitahidi aweke ududu wangu pale kwenye mfereji wake, anatingishika all the time, nikamshauri ageukie kwangu tutazamane ili asinikewaze akagoma. Kweli alichezesha na kwa kuwa sina aibu nikapiga simu kwa mke wangu nakutamka "Nipo buguruni hapa lakini hizi daladala zinaweza tudhalilisha, naweza nikarudi na hali mbaya huko" basi lile lijimama likastop ile vibration, gari nzima walicheka ila msukule ulianza kuchangamka kabisa maana kila mtu na mapungufu yake.

Mwengine akiona tuu sperm njenje sasa wewe kwenye kwapa inamaana ulliwekaje hizo kwapa hapo ninamashaka.
ila kwakuwa unataka sababu basi sababu ni hizi hapa
1. ugwadu
2. Ugonjwa wa kuzaliwa nao
3. kwa kukuwa ukisimama muda mrefu all body energy zinakusanyika huku chini na ukiguswa tuu basi charge zinaanza
4. Maumbile ya mwanaume ni tofauti na mwanamke
5. ukizoea kupiga bao kwenye disco basi kwenye daladala unapiga tuu.

nyingine ni nyingi
Haya Neng'uli,nimeziona sababu zako,Pole kwa kupata jaribu hilo nahic huyo dada naye alikuwa na lake jambo tu afadhali ulivyomwonyesha kuwa hubabaishwi nae,ila kwa kec yangu mie sikuwa nimesimama nilikuwa nimekaa na yy amesimama na kuegemea kiti nilichokalia akiwa amenigeukia kiasi kwamba sehemu yake ya mbele ilikuwa inagusa kuanzia begani kurudi chini na ndipo alipokuwa akijisugulia!,so toa shaka ni ukweli na imenitokea.
 
Pole. Haya mambo yanatokea sana. Huyo baba alishikwa na mfadhaiko wa akili. Hii hutokea mtu akishindwa kuji - control kutokana na kuwaza/kutamani ngono. Tabia ya kushindwa kuji- control hupelekea watu kubaka hata binti zao au wanyama wanaowafuga.
 
Uungwana umepungua ndugu! Siwez kusahau nlipokuwa o'level siku moja kwenye daladala nilikaa kale kasit ka wanafnz nikapishanisha miguu na mama m1 aliyekaa sit 2likuwa nnaangalia naye, alkuwa kama wa miaka 27-35 amevalia sket fupi, mara akawa ananibana na kuniachia, nikimwangalia anajifanya anachezea simu! Taratibu akaanza kutembeza kidole cha mguu kwangu, khaaa! Akaniangalia alafu akatabasam, thn akanilalia miguu yangu 2liyokuwa nimepisha nae, niliccmka kwan matiti yake makubwa aliyalaza mapajan mwangu! Duuu, nlishuka ki2o kimoja kabla kwan dada yule alizidisha ujinga wake. Pole we mdada ila nadhan kuna tatizo labda wataalam watusaidie.
Asante Bambanza,pole na ww,ila km kuna wadada wanaosabishia wanaume kudhalilika basi mie nashauri mtu akigundua hili ni kumuwahi na kumdalilisha yeye kwanza ili wakome tabia yao mbaya!
 
Back
Top Bottom