Nipeni pole,wakaka/wababa nisaidien kujua 7bu ya baadhi yenu kufikia kufanya upuuzi

Ndugu yangu Igwe,katika hili naomba usiwe doubting Thomaso.Hizi kesi hapa Dar ni common sana tena sana.Kila kukicha watu wanafunguliwa mashtaka kwa tendo kama hili kwenye dala dala na wengine anapewa kajukuu akakumbatie basi kakinyanyuka kameloa mgongoni,mahakamani linaitwa 'shambulio la aibu',hukumu yake ni mvua 30!Wanaofanya haya kwa kiswahili wanasemwa wamepata 'mhemuko',very common incidents in Dar though sad.
 
Dah! Unajua bana kama hujaridhia na mtu humfahamu yaaaani ni kero na kama uchafu... ndo hapo waweza oga Masaaa!! Pole saana Dear...
Asante dada mkubwa,umejuaje,yani kila saa hata nikisikia harufu ya kitu najikuta napanusa au napatizana ilimradi ile picha haipotei!
 
pole mdada, tuwafundishe watoto wetu wa kike kupiga kelele mara wanapokutwa na masaibu kama haya.

jitafutie kagari kako mwaya tuone atakukuta wapi.
 
pole mdada, tuwafundishe watoto wetu wa kike kupiga kelele mara wanapokutwa na masaibu kama haya.

jitafutie kagari kako mwaya tuone atakukuta wapi.
Asante Mamndenyi,tuombe uzima katapatikana tu siku moja!
 
Cantalisia mi sikupi pole bali nakupa hongera........

wanawake walikuwa wangapi kwenye basi kakuona wewe?............ Hapo ujue umeumbika bibie!

Nashukuru kumbe uko Dar, ngoja nikuPM tuongee kiduchu.
 
Cantalisia mi sikupi pole bali nakupa hongera........

wanawake walikuwa wangapi kwenye basi kakuona wewe?............ Hapo ujue umeumbika bibie!

Nashukuru kumbe uko Dar, ngoja nikuPM tuongee kiduchu.
Haaaaaa!jamani Asprin,huoni huyu mtu sio wa kawaida mpaka kufanya hivyo?sasa mkono nao huwa unatamanisha ana wazimu tu ndio maana akaona hakuona mkono bali ..............,mwisho wa siku aibu!
 
pole dada! unajua mwanzoni mwastory sikuamini ila nimekuja kuamini baada ya wachangiaji kutoa ushuhuda!

make umesema kaka mwenyewe alikuwa nadhifu na kama anaakili timamu kwakumwangalia!
sijui hajaoa au hana hata demu? siangepiga mgalala nyumbani akawa mwepesi ndoakaenda kazini!!

aaaaaarrrrgggghhhhhhhh inauzi kweli!
 
Una bahati dada! Ungechelewa tu, ungekuta jamaa kafika kileleni... Alafu ndio unashtuka ha!!! Ndio mchuz unaingia mdomoni na mwingine unashuka usoni taratiiibu! Sipati picha ingekuwaje kwenye daladala! Pole sana dada!
 
Mie mwenyewe nilidhan kila mtu anasikiaga labda ni matukio ya nadra kumbe hawa wapuuzi wako kila mahali,yani inakera sana mkuu!
 
Pole shosti,duh huyo mbaba haoni haya kufungua zipu mbele za watu? watu wazima wengine ovyo kweli....ungepiga kelele ingekua bora angekoma
sikunyengine kufanya mambo yakishenzi kama hayo fisadi mtu mzima.....
 
Una bahati dada! Ungechelewa tu, ungekuta jamaa kafika kileleni... Alafu ndio unashtuka ha!!! Ndio mchuz unaingia mdomoni na mwingine unashuka usoni taratiiibu! Sipati picha ingekuwaje kwenye daladala! Pole sana dada!
Hata angemaliza angeishia mkononi au began,mungu mkubwa nilimuwahi!
 
Pole shosti,duh huyo mbaba haoni haya kufungua zipu mbele za watu? watu wazima wengine ovyo kweli....ungepiga kelele ingekua bora angekoma
sikunyengine kufanya mambo yakishenzi kama hayo fisadi mtu mzima.....
Asante my dia,yani ujue na ule unadhifu wake ulinizidishia ganzi ya kufanya maamuzi nifanyaje yani hafananii kbs,ila hata makofi niliyoweza kumpiga yatamkumbusha jambo fulan maishani mwake!
 
Haaaaaa!jamani Asprin,huoni huyu mtu sio wa kawaida mpaka kufanya hivyo?sasa mkono nao huwa unatamanisha ana wazimu tu ndio maana akaona hakuona mkono bali ..............,mwisho wa siku aibu!

we babu kweli umepinda

Huyu mzee sijui leo vp!nahisi kavaa miwan ya mbao anaona kinyume!
Eish...! Sasa unafikiri ungekuwa na msura kama ngumi ya mwizi angekusogezea dudu yake kwenye ukwapa?.....BTW ulikuwa umetinga viwalo vya aina gani?
 
Eish...! Sasa unafikiri ungekuwa na msura kama ngumi ya mwizi angekusogezea dudu yake kwenye ukwapa?.....BTW ulikuwa umetinga viwalo vya aina gani?
Haaa haaa haaa,babu mbavu zangu mie,surual na blauzi yenye mikono ya kuishia began,koti nilikuwa nimelishika mikononi,ningejua nigelivaa kbs!
 
pole dear...........inatia aibu kweli mijanaume mingine bana.....au katumwa na mganga wa kienyeji
 
Bora ww uliyewahi kutokewa coz inawawia ngumu sana watu kuamini,ila ndio ukweli japo watu wanaona kama nimetunga, asante mwaya!
Ht mimi km nilikuwa na wasiwasi japo nishawahi kusikia vitu km hivyo,ila nipo saloon muda huu hapa k,koo nawasimulia washkaji wanasema mbona mambo hayo mengi tu town hasa pande za mbagala.pole sana dada.
 
Cantalisi umesema alikuwa na shati lenye nembo ya bank? Kama ni teller au cashier basi leo kazini ataharibu kazi maana nina hakika mpaka sasa akili yake haijatulia kwa fedheha ya kwenye daladala. Hapo alipo anahisi kila mtu anajua ama kamuona kwenye hiyo daladala. Hebu tudokeze ni bank gani maana nina marafiki kwa benki ili niwakanye hii tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…