Nipeni pole,wakaka/wababa nisaidien kujua 7bu ya baadhi yenu kufikia kufanya upuuzi

Ht mimi km nilikuwa na wasiwasi japo nishawahi kusikia vitu km hivyo,ila nipo saloon muda huu hapa k,koo nawasimulia washkaji wanasema mbona mambo hayo mengi tu town hasa pande za mbagala.pole sana dada.
Asante Sifongo,kwa kweli kama haijakutokea au kusimuliwa na mtu wa karibu inakuwa ngumu kuamini,lkn ndio hivyo watu wanajitoa akili na kufanyia wenzao upuuzi km huu!
 
Yes ina nembo ya bank,Ila sio busara kuandika jina la benk hapa wakati mwenye matatizo ni mtu binafsi na sio bank,nisamehe kwa hilo!
 
Hili ni common sana. Nimeshaona mwanamke akishuka kwenye dala dala mtu akamwambia alikuwa amekalia makohozi, akasema mbona nilikuwa sijakaa kabisa nilikuwa nimesimama. Akaambiwa jiangalie kwenye makalio! ...... alichokiona!!

Haya mambo yanatokea kila siku kwenye dala dala. Yaani ni kila siku. Nimeshaona zaidi ya mara tatu mtu akikurupushwa! Kuna kesi ilishawahi kutokea miaka ya nyuma kidogo kwenye foleni, sujui ilikuwa benki, tena huyo mwanaume alikuwa Daktari wa Mifugo ..... Wataalam waliita mfadhaiko.

Ila inaonekana ni hali (mfadhaiko) inawapata wanume wengi wanapokuwa kwenye mgusano wa kimwili (physical contact) na wanawake kwa muda mrefu. Wengine huamua kujichafua wenyewe ndani ya masuruali yao, wengine huuchomoa kabisa!!! Ila kunakuwa na matatizo ya kisaikolojia, ndo maana wataalam wa akili wanasema binadamu wote ni vichaa ..... tunatofautiana viwango tu!

Ila jambo moja lililo wazi, kuna wanawake wanajisahau mno, yaani hajijali. Mwili wa mwanamke unatakiwa usitiriwe vizuri kuepuka mambo kama haya. Kwenye madaladala kuna wanawake wengine unakuta almost kakumbatiwa kabisa na mtu ambaye hata hamfaham ila yeye unakuta tu katulia na wala hajali. Wanawake wengine unakuta amemsukumia kifua mwanaume kwa muda mrefu wala hajali. Hili ni tatizo, mguso wa kifua cha mwanamke ukiwa mrefu sana kwa mwanaume, hata kama hakuwa na wazo, MFADHAIKO HUWEZA KUTOKEA. Wanawake wengine wanafanya maksudi kabisa kwa nia ya kumuumbua mwanaume. Kwenye dala dala kuna vituko, we acha tu. Ukisimuliwa matukio yaliyotokea kwa siku moja tu huna hamu.

kwa ujumla mwanamke inatakiwa ajiepushe kabisa na mgusano wowote na mwanaume; hasa ikiwa mgusano huo unachukua muda mrefu!! Hata mkikaa kwenye kiti kimoja, si lazima msuguane mabega (hasa kama mwanamke amevaa nguo inayoyaacha wazi)!!

Wanawake wengine hawataki hata kutumia magari ya binafsi kwani wanafurahia wanapobambwa bambwa kwenye misongamano ya kwenye madala dala - atalalamika tu akiibiwa cheni yake, ila mengine poa tu. Haya ni matatizo yaliyopo kwenye jamii, hadi yanapokukumba ndo unastuka; ila yapo kwa sana tu!!
 
Haaa haaa haaa,babu mbavu zangu mie,surual na blauzi yenye mikono ya kuishia began,koti nilikuwa nimelishika mikononi,ningejua nigelivaa kbs!
Nshaanza kuelewa sasa, haya hebu nambie huko kwenye ukwapa ulifanikiwa kupitisha kiwembe siku za usoni? Nahisi njemba ilidhani ni vile vinyweleo vinavyozunguka kikojoleo......... Sasa dah.....jamaa likawa linaimagine linafanya tendo la kisababisha mtoto! Hatari sana hii............. BTW bila kuzingatia itifaki, vipi hukujisikia kamsisimko flani hivi? Ungekasikia ungeanzisha hii sredi? Nauliza tu nipate kujua jamani.....
 
Dah! Unajua bana kama hujaridhia na mtu humfahamu yaaaani ni kero na kama uchafu... ndo hapo waweza oga Masaaa!! Pole saana Dear...
Shem.........kamusi inatafsiri nini kwenye hilo neno hapo kwa bold?

Swali: Angerizia ungekuwa usafi siyo?
Ushauri: Delete hiyo post kabla hommie hajaamka.
 
Hii umeitoa kwenye tamthilia ya kibongo, kinigeria au ze komedi?
 
Jamani babu,sio kwenye kwapa,mie nikuwa nimekaa alipokuwa anasugua ni mkononi karibu kbs na bega hapana vinyweleo babu!
 
Jamani babu,sio kwenye kwapa,mie nikuwa nimekaa alipokuwa anasugua ni mkononi karibu kbs na bega hapana vinyweleo babu!
Orayt....ODM amerizika na utetezi wako...... Sasa waweza kuenda kwa amani. Usitende tena zambi, sawa eh?
 
Aisee! haya mambo huwa nasikikaga kwamba yanatokea nikawa siamini lol, pole mwaya
 
Orayt....ODM amerizika na utetezi wako...... Sasa waweza kuenda kwa amani. Usitende tena zambi, sawa eh?
Asante babu kwa kunisamehe zambi zangu nami sitatenda zambi tena, amen.
 
Aisee! haya mambo huwa nasikikaga kwamba yanatokea nikawa siamini lol, pole mwaya
Asante mwaya,amini tu mwaya, coz umeona watu wametoa maushuhuda yakuaminisha kbs,kuna watu wapuuzi kweli kweli dunian!
 
Duh! Pole sana dada! Huyo bwana inaonekana ana pepo la ngono na litampelekesha sana asipopata msaada wa maombi! Yaan kwenye daladala tena anaelekea ofisini! It s really hard to believe this!
Nakumbuka waimbaji fulani hivi waliimba kuwa dhambi ni mzigo na ni heri mzigo wa mabegani kuliko wa moyoni!

God forbid!

 
Pole sana Canta hizi issue zipo sana tu tena kwenye hii njia ya kilwa road magari ya mbagala ndio karibu kila siku nyakati nyingize hawazungu wanatoka mtu anashtukia amelowa miuji yao inakera sana, pole sana dear hao wasio amini waache hivyo hivyo iko siku wataamini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…