Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
mbususu si Lazima uisubiri unaifata huko huko mamtoni si unasema pesa imwari?Wataalam,
Nimekuwa kwenye mahusiano ya takriban miaka mi3 Sasa na huyu Binti mmoja mtoto wa Kigogo mkubwa hapa Tanzania.
Kusema kweli Binti ananipenda na Mimi nampenda sana. ila changamoto imekuja hapa baada ya kutaka kufikia hatua ya ndoa.
Ni kwamba Binti nilikuwa nakaa naye nyumbani kwake (amejengewa kasiri la kifahari na baba ake) na mda wote Kuna ulinzi wa kutosha plus popote aendapo Kuna walinzi na watu wa usalama hutufuata.
Shida Inakuja Sasa, mwaka Jana Binti alipata kazi Uingereza, kazi iko tight na kwa ratiba ikaonekana tutakuwa tunaonana anapopata likizo mara moja kwa mwaka.
Mimi nikataka kumfuata niishi naye huko lakini yeye na wazazi wake wakakataa kwamba inabidi nibaki bongo nikisimamia miradi lukuki ya Binti.
Ni sawa naishi maisha ya kifahari, naendeshwa kwenye Magari makubwa nilivyokuwa nayaona kwenye movie tu, na nikimuoa nitapewa mpaka walinzi wa kuandamana na Mimi.
Tatizo lipo hapo, Yani Mimi sex kwangu itakuwa mara moja tu kwa mwaka akipata likizo, na siwezi kucheat maana mda wote nafuatiliwa na watu wa usalama.
Mnanishauri nifanyeje? Nimuoe Au niachane na huyu binti?
mbona kuna mademu kibao wanatoka mikoani kufuata mishedede dar, na wajuba wengi tu wanafata mbususu hadi mikoani, wew kinakushinda nini? Hebu usituaibishe....
hao walinzi wakusindikize mpaka London kampelekee moto mtoto urudi town uendeelee na mishe kila miezi mi2 unaenda,
we vep jamaa 🐒