Nipeni ushauri: Haya mahusiano na mtoto wa kigogo yananitesa

Mleta mada wahi hospitali ya Mirembe kichaa kinakunyemelea wahi kabla hujatupa nguo zote na kutembea uchi mitaani
 
Hizo sinema zenu.....za kitoto sabaa mtuache tunafuatilia kayiba mpya
 
Ukizidiwa si unapanda ndege tu kwani UK si masaa tu nane umefika unamwaga unageuka
 
Acha kutuwekea chai bila Sukari. Siku hizi tunatumia Asali. ingekua kisa cha ukweli usingekuja kutuambia... Mbongo na makri za mtelezo wa pexa ni msiri nmo!!!
 
Mi nakuamini .
Ushauri ni ukilala na mtu ndio kwisha utarudi mbagala
 
Kijana acha uongo, kuna uzi umeutuma juzi kuwa umepata kazi halafu mademu wanajipendekeza kwako, sasa hao usalama wanakufatilia hadi kazini unapoenda? Hao mademu unaosema wanakufata hadi ukaomba ushauri wa kuchagua yupi, kwanini hawaziiwi na hao usalama?
 
We acha tu, kokote niliko wako
 
Acha kutuwekea chai bila Sukari. Siku hizi tunatumia Asali. ingekua kisa cha ukweli usingekuja kutuambia... Mbongo na makri za mtelezo wa pexa ni msiri nmo!!!
Napenda mtelezo ndio...tatizo ni iyo papuchi mara moja kwa mwaka
 
Kama bunti wa Kigogo anazingua tafuta Binti wa kisambaa
 
We acha tu, kokote niliko wako
Ndo mademu wanakuja mpaka kwako kupika na kufua mashuka na umesema usalama wanakufatilia, Inamaana hawawazuii hao mademu? Au kukuchoma kwa demu wako wa Uingereza? Huoni umetunga nyuzi mbili zinazokinzana ili kutudanganya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…