Nipeni ushauri: Haya mahusiano na mtoto wa kigogo yananitesa

Ndo mademu wanakuja mpaka kwako kupika na kufua mashuka na umesema usalama wanakufatilia, Inamaana hawawazuii hao mademu? Au kukuchoma kwa demu wako wa Uingereza? Huoni umetunga nyuzi mbili zinazokinzana ili kutudanganya?
Kosa ni kuichomeka tu, kufua na kupika hamna shida
 
Acha bangi akili itarudi katika hali ya kawaida bila hivyo utajikuta upo milembe.
 
Umenikumbusha kuna member mmoja huku alkua anaweka nyuzi zake humu halafu anajijibu mwenyewe. Sijui kaishia wapi [emoji23][emoji28]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naomba niajiri tu kwenye hyo Miradi nshachoka ujobless
 
Ukiamka utuambie

Afu wenzio wako shule sa hivi wewe naona ada imecheleweshwa lipa
 
Basi weka mtu ambaye ni new babe wako awe kama delivery wa kitu home kama wa vyakula ambavyo ni tayari vimepikwa . So wanajua hayupo lazima uagize basi akiingia unafanya yako
Smart .....Hawa jamaa wa usalama hawawezi kushtuka kweli?
 
Shule hazijaanza kuwabana. Mtakuwa mnaanzisha anzisha nyuzi za kipuuzi mpaka tukome.
 
Nice story, Inabidi nikufanyie mpango mkae na Lamata wa jua kali mfanye kazi pamoja.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…