Nipeni ushauri: Je, nimpeleke kwenye vyombo vya sheria au nimuachie Mungu?

Nipeni ushauri: Je, nimpeleke kwenye vyombo vya sheria au nimuachie Mungu?

Daaaah. Hilo ndilo lililonicost mimi bila kujua kuhusu maswala ya mikataba. Akiliyangu ilinituma kwamba ilimuladi tu uaminifu na kulipwa mshahara basi
je ni wafanyakazi wote wanalipwa hivyo au ulikuwa wewe
hiyo kampuni imeajili watu wangapi
 
Mungu hatomuweza ndugu yangu! Hapo ni kumnyima Mungu usingizi tu
 
kabla tupo na wahindi ilikuwa tunalipwa kwa njia ya benk kwenye account zetu but baada kama miezi mingapi wakiwa wameondoka tukabadilishiwa mfumo ikawa ni kwa mkononi
Valentina
huo ni ushahidi tosha wa kuanzia hawezi kukwepa pata mshauri mzuri wa kisheria atajua namna ya kumbana pia anaweza kuadhibiwa na taasisi nyingine kama ERa kwa kutopeleka paye au na NSSF kwa kutopeleka michango kwa kifupi alikuwa anavunja sheria za nchi
 
Daaaah. Hilo ndilo lililonicost mimi bila kujua kuhusu maswala ya mikataba. Akiliyangu ilinituma kwamba ilimuladi tu uaminifu na kulipwa mshahara basi
Hakunaga kuoneana huruma kwenye dunia hiI. The same kwa wenye nyumba wanakuaga na kisirani na kujipandishia kodi wanavyojisikia
 
Wanasema huwezi shindana na bosi wako hata ukienda huko vyombo vya sheria unaweza udhulumiwe haki yako maana mkubwa ndie anaetazamwa zaidi so we kama ni mtu wa MUNGU mwachie yeye atakunyanyua tuu.
Kwa mfano huyo bosi unataka uniambie hajui kuwa unamdai? ni wewe peke yako unadai au kuna wenzio? after all haki itendeke haijalishi wangapi mnadai...
Mpe last warning asipokulipa nenda zako MUNGU hamtupi mja wake.
Watu kama ninyi ndio mlilolifikisha Taifa hapa lilipo, ur very poor minded person. Ndio ushauri wa kumshauri mtu huo kweli?
 
kama ulikuwa huma mkataba wwte ,huna utakachofanya
Kama hujui husipotoshe. Mkataba ulikuwepo by conduct of the parties... Ndio maana alilipwa mshahara aliomba ruhusa alipopata dharura na uenda alipewa likizo. Nenda kwenye vyombo vinavyohusika
 
Back
Top Bottom