rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
kawaida maswala ya kazi yanaanzia labour kabla ya kwenda mahakama ya kazi si ajabu aliyokufanyia boss wako hata wakubwa wake hawajui sema keshawajengea uwoganiende labour befor mahakama kufungua kesi
ulikuwa unalipwa mshahara kwa namna gani benki au mkononiDaaaah. Hilo ndilo lililonicost mimi bila kujua kuhusu maswala ya mikataba. Akiliyangu ilinituma kwamba ilimuladi tu uaminifu na kulipwa mshahara basi
je ni wafanyakazi wote wanalipwa hivyo au ulikuwa weweDaaaah. Hilo ndilo lililonicost mimi bila kujua kuhusu maswala ya mikataba. Akiliyangu ilinituma kwamba ilimuladi tu uaminifu na kulipwa mshahara basi
watu 8 but wahindi walipo ondoka na wafanya kazi wakaanza kupukutika mmoja mmojaje ni wafanyakazi wote wanalipwa hivyo au ulikuwa wewe
hiyo kampuni imeajili watu wangapi
huo ni ushahidi tosha wa kuanzia hawezi kukwepa pata mshauri mzuri wa kisheria atajua namna ya kumbana pia anaweza kuadhibiwa na taasisi nyingine kama ERa kwa kutopeleka paye au na NSSF kwa kutopeleka michango kwa kifupi alikuwa anavunja sheria za nchikabla tupo na wahindi ilikuwa tunalipwa kwa njia ya benk kwenye account zetu but baada kama miezi mingapi wakiwa wameondoka tukabadilishiwa mfumo ikawa ni kwa mkononi
Valentina
Hakunaga kuoneana huruma kwenye dunia hiI. The same kwa wenye nyumba wanakuaga na kisirani na kujipandishia kodi wanavyojisikiaDaaaah. Hilo ndilo lililonicost mimi bila kujua kuhusu maswala ya mikataba. Akiliyangu ilinituma kwamba ilimuladi tu uaminifu na kulipwa mshahara basi
Watu kama ninyi ndio mlilolifikisha Taifa hapa lilipo, ur very poor minded person. Ndio ushauri wa kumshauri mtu huo kweli?Wanasema huwezi shindana na bosi wako hata ukienda huko vyombo vya sheria unaweza udhulumiwe haki yako maana mkubwa ndie anaetazamwa zaidi so we kama ni mtu wa MUNGU mwachie yeye atakunyanyua tuu.
Kwa mfano huyo bosi unataka uniambie hajui kuwa unamdai? ni wewe peke yako unadai au kuna wenzio? after all haki itendeke haijalishi wangapi mnadai...
Mpe last warning asipokulipa nenda zako MUNGU hamtupi mja wake.
Kama hujui husipotoshe. Mkataba ulikuwepo by conduct of the parties... Ndio maana alilipwa mshahara aliomba ruhusa alipopata dharura na uenda alipewa likizo. Nenda kwenye vyombo vinavyohusikakama ulikuwa huma mkataba wwte ,huna utakachofanya
Mimi sio mtaalamu sana wa hizo vitu, ila najua mfanyakazi akizinguana na boss wake, kuna jamaa wanaitwa CMA (hapana kaka me nipo mkoani.